Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 7,623
- 16,381
Katika pita pita zangu za hapa na pale katika kujifunza mambo mapya hasa kuhusu kifo nimekutana na mtazamo huu kuwa kifo ni mauzauza tu ya akili yetu, kifo hakipo. Na watu wanaoshikilia msimamo huu wanatumia nadharia ya 'biocentrism' kuthibitisha maoni hayo. Nimesoma sana na kuangalia video nyingi kuhusu hiyo ishu lakini naona sielewi elewi bado. Kwa yeyote anayeifahamu vizuri hebu atuelezee hapa.
Natanguliza shukrani.
zitto junior Life coded Da'Vinci Eiyer
Natanguliza shukrani.
zitto junior Life coded Da'Vinci Eiyer