According to biocentrism, death is an illusion: Kwa anayeifahamu nadharia ya biocentrism anielezee kwa manufaaa ya wengine pia

Stephen Ngalya Chelu

JF-Expert Member
Oct 31, 2017
7,620
16,365
Katika pita pita zangu za hapa na pale katika kujifunza mambo mapya hasa kuhusu kifo nimekutana na mtazamo huu kuwa kifo ni mauzauza tu ya akili yetu, kifo hakipo. Na watu wanaoshikilia msimamo huu wanatumia nadharia ya 'biocentrism' kuthibitisha maoni hayo. Nimesoma sana na kuangalia video nyingi kuhusu hiyo ishu lakini naona sielewi elewi bado. Kwa yeyote anayeifahamu vizuri hebu atuelezee hapa.

Natanguliza shukrani.

zitto junior Life coded Da'Vinci Eiyer
 
Katika pita pita zangu za hapa na pale katika kujifunza mambo mapya hasa kuhusu kifo nimekutana na mtazamo huu kuwa kifi ni mauzauza tu ya akili yetu, kifo hakipo. Na watu wanaoshikilia msimamo huu wanatumia nadharia ya 'biocentrism' kuthibitisha maoni hayo. Nimesoma sana na kuangalia video nyingi kuhusu hiyo ishu lakini naona sielewi elewi bado. Kwa yeyote anayeifahamu bizuri hebu atuelezee hapa.

Natanguliza shukrani.
Umeandika kitu ambacho hakieleweki too pathetic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mfano wakikuambia kuwa we hapo ulishakufa tayari utapinga vipi. Hebu jiulize aliyelala na anaota anafukuzwa na simba. Hujitahidi kukimbia ili aokoe maisha yake huku akijua kuwa hayo ndo maisha yake harisu nawala si ndoto tu. Akiamka ndo anajua kuwa kumbe ilikuwa ni ndoto hata asingekimbia asingeuawa na simba wa ndotoni. Hivyo amepambana kwa hasara. yaweza kuwa hata mi kukoment hapa ikawa ni mwendelezo wa ndoto katika kifo changu. Yaani nilishakufa na haya ndo maisha ya kifoni. NDIVYO WANAVYOMAANISHA WAO
 
Shukrani mkuu, haya mambo yanachanganya sana aisee. Kuna wakati huwa nakaa na kufikiria sana najiona kama sipo vile, yaani sipo popote ila niponipo tu.
 
Kwa hiyo makaburini tumepeleka midoli ??

Sent using Jamii Forums mobile app
Wao wanadai kuwa spave and time ni vitu ambavyo vinatumiwa na akili yetu ili kutufanya tuhisi huu uwepo lakini ukifa hakuna time na kifo hakipo katika timeless world. Kwa hiyo sisi tunaona mtu amekufa, tumezika n.k. lakini uhalisia hauko hivyo. Sijui niliwaelewa vizuri🤔🤔
 
Kwa mfano wakikuambia kuwa we hapo ulishakufa tayari utapinga vipi. Hebu jiulize aliyelala na anaota anafukuzwa na simba. Hujitahidi kukimbia ili aokoe maisha yake huku akijua kuwa hayo ndo maisha yake harisu nawala si ndoto tu. Akiamka ndo anajua kuwa kumbe ilikuwa ni ndoto hata asingekimbia asingeuawa na simba wa ndotoni. Hivyo amepambana kwa hasara. yaweza kuwa hata mi kukoment hapa ikawa ni mwendelezo wa ndoto katika kifo changu. Yaani nilishakufa na haya ndo maisha ya kifoni. NDIVYO WANAVYOMAANISHA WAO
Ukuje huyu jamaa anaongea point sana.
 
Wao wanadai kuwa spave and time ni vitu ambavyo vinatumiwa na akili yetu ili kutufanya tuhisi huu uwepo lakini ukifa hakuna time na kifo hakipo katika timeless world. Kwa hiyo sisi tunaona mtu amekufa, tumezika n.k. lakini uhalisia hauko hivyo. Sijui niliwaelewa vizuri🤔🤔
Na ndo maana mungu (Allah)anatuambia Kua hakika dunia Ni pumbao..walioamini ndo wenye akili.N a wale walio kufa Kwa ajili ya Allah msiseme wamekufa..
 
Katika pita pita zangu za hapa na pale katika kujifunza mambo mapya hasa kuhusu kifo nimekutana na mtazamo huu kuwa kifo ni mauzauza tu ya akili yetu, kifo hakipo. Na watu wanaoshikilia msimamo huu wanatumia nadharia ya 'biocentrism' kuthibitisha maoni hayo. Nimesoma sana na kuangalia video nyingi kuhusu hiyo ishu lakini naona sielewi elewi bado. Kwa yeyote anayeifahamu vizuri hebu atuelezee hapa.

Natanguliza shukrani.

zitto junior Life coded Da'Vinci Eiyer
Acha kuangaika na upumbavu we kaa usubirie hicho kifo kikikujia hapo ndipo utajua mengi yaliyofichikana

Mfano kabla haujaoa hauwezi kujua yaliyomo kwenye ndoa hadi pale nawe utakapoingia kwenye ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mfano wakikuambia kuwa we hapo ulishakufa tayari utapinga vipi. Hebu jiulize aliyelala na anaota anafukuzwa na simba. Hujitahidi kukimbia ili aokoe maisha yake huku akijua kuwa hayo ndo maisha yake harisu nawala si ndoto tu. Akiamka ndo anajua kuwa kumbe ilikuwa ni ndoto hata asingekimbia asingeuawa na simba wa ndotoni. Hivyo amepambana kwa hasara. yaweza kuwa hata mi kukoment hapa ikawa ni mwendelezo wa ndoto katika kifo changu. Yaani nilishakufa na haya ndo maisha ya kifoni. NDIVYO WANAVYOMAANISHA WAO
Mkuu umeongea kitu kikubwa sana ambacho kimenifanya nifikilie sana.

Kwa hiyo huenda tupo kwenye ndoto ndefu inayoanzia kubebwa kwa mimba zetu kuzaliwa kwetu na kuishi kwetu
 
Back
Top Bottom