According to biocentrism, death is an illusion: Kwa anayeifahamu nadharia ya biocentrism anielezee kwa manufaaa ya wengine pia

Katika pita pita zangu za hapa na pale katika kujifunza mambo mapya hasa kuhusu kifo nimekutana na mtazamo huu kuwa kifo ni mauzauza tu ya akili yetu, kifo hakipo. Na watu wanaoshikilia msimamo huu wanatumia nadharia ya 'biocentrism' kuthibitisha maoni hayo. Nimesoma sana na kuangalia video nyingi kuhusu hiyo ishu lakini naona sielewi elewi bado. Kwa yeyote anayeifahamu vizuri hebu atuelezee hapa.

Natanguliza shukrani.

zitto junior Life coded Da'Vinci Eiyer

Ulitakiwa kwanza uwaulize hao jamaa wanao amini hiyo nadharia ni nini maana ya NDOTO ?

Kisha sasa ndio tuendelee na mjadala,au kama walielezea nini maana ya ndoto tueleze hapa ili tuijadili vyema mada.

Nipo ....
 
lakini ukifa hakuna time na kifo hakipo katika timeless world.

Hii sehemu imenichekesha sana. Tatizo hawa watu ni wajinga sana wanatengeza mawazo au kuwaza mawazo ambayo hata lugha tu yenyewe ina kataa. Tazama sentensi hiyo ilivyo kaa,ukifikiria kwa undani utaona kabisa ya kuwa inajaribu kuelezea jambo ambalo haliwezekani.

Tazama hapa, tamko "Ukifa" ni kitendo katika hali ijayo na tamko "Kifo" ni jina,sasa kama kitendo kipo tena chenye kunasibishwa na nafsi vipi jina (Kifo) kisiwepo tena katika hali halisi isiyo kuwa na shaka ndani yake ?

Husemwa hivi "Bora ukose mali kuliko kukosa akili"

Nina maswali mengi sana yasiyojibika kwa hao wadau. Nimeanza na hoja ya kilugha kwanza.

Asante sana.
 
Kwa mfano wakikuambia kuwa we hapo ulishakufa tayari utapinga vipi. Hebu jiulize aliyelala na anaota anafukuzwa na simba. Hujitahidi kukimbia ili aokoe maisha yake huku akijua kuwa hayo ndo maisha yake harisu nawala si ndoto tu. Akiamka ndo anajua kuwa kumbe ilikuwa ni ndoto hata asingekimbia asingeuawa na simba wa ndotoni. Hivyo amepambana kwa hasara. yaweza kuwa hata mi kukoment hapa ikawa ni mwendelezo wa ndoto katika kifo changu. Yaani nilishakufa na haya ndo maisha ya kifoni. NDIVYO WANAVYOMAANISHA WAO
mkuu umeongea mengi sana lakini ndani ya ulichoongea naamini kuna kitu una lag behind...
Naomba nikulize kitu ...what is the difference between dream and real katika maisha ya kawaida ya mwanadamu...??

Unaweza ukatofautisha between dream and real katika illusion uliyonayo...??

Nimekuliza hivo simply because maneno yako uliyosema kuwa unaweza ota unafukuzwa na simba kumbe ni ndoto tu...

Unaweza toa utofauti katika reality between real and dream??

Does somebody become aware if he /she is dreaming ??

kama huwezi tofautisha kati ya real and dream basi usiseme bado unaota au upo katika maisha ya kawaida...

Ndivyo ilivyo hata mtu akipata usingizi,concious yake huwa inampeleka kwenye maisha ambayo huwa anadhani ni kweli na huwa anafaiti kuyamaintain na ndo mana mtu akiota anakimbizwa na nyoka au simba atakimbia sana kadri anavyoweza ili mradi alinde maisha yale na hawezi jua kama anaota ila mpaka atakaposhituka ndo atajua kuwa alikuwa anaota na atazalau sana na kuahidi kuwa hataweza tena kuogopa kitu chochote akiwa ndotoni but when he sleeps again huota ndoto ambazo matukio anayoyafanya huyapigania ajiokoe....

Ndo mana ni ngumu kusema real na dreal ni ipi ina mazingira harisi tunayoyaishi...illusion ipo pote mkuu..

Hujawahi patwa na mikasa ambayo umefanya blunder ( mistake ) za kufa mtu ila unatamani zigeuke ziwe ndoto ili ukiamka iwe kama ulikuwa unaota kisha uendelee na maisha mengine lakini ngoma inafell ...!!ulishawahi patwa na mkasa wowote ambao jamiii inaenda kuushuhudia kwa aibu kali...??ila ukatamani iwe ndoto. .!!?? Naona hujawahi

ndivyo ilivyo hata kwenye ndoto unakuwa unaota umeshika mabilioni ya pesa lakini unamka asubuhi hola na unalaaani sana kitendo kile kuwa kwanini kisiwe reality....lakini ukiambiwa leo hii kuwa ni yapi mazingira ungeyachagua kati ya maisha uliyoyapata ndotoni na unayoyaishi katika concious form...?? ni yapi yangekupendeza...??

Basi ndivyo ilivyo ngumu kujua which is real between Dream and reality ya kimachomacho....

Death has codes to eplain the reality behind.....

Kuna fumbo kubwa juu ya uhalisia unaouishi mkuu....ukitaka kujua kuwa dreams unazoota zinamata sana jaribu kujiuliza kwanini kila ndoto mbaya unayoota huwa haifiki mwisho.....?? na siku ukikamatwa ukiwa ndotoni what will happen?? ulishawahi jiuliza ...?!

Manake nini, kama ulikuwa unaota unakimbizwa na nyoka au simba ile amekaribia kukukamata huwa unashituka gafla na ndoto inaishia pale ..kama isingekuwa na maana basi angekugonga halafu ukasikilizia maumivu huko huko ndotoni ila kwanini kuna kitu kinakuamsha fasta ili usipatwe na tukio lile...

(kuna kitu)......

Ndo mana wanakwambia kuwa dreams reflect another part of your life mkuu...there is somewhere (place in dimension plane) or different plane where your soul goes in both concious and dream life conditions..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zurri una lolote la kuchangia hapo
 
Zurri una lolote la kuchangia hapo

La kusema lipo au yapo bro.

Kuna aina tatu za ndoto.

1. Ndoto za kweli hizi ni ndoto ambazo huwa ni sehemu ya ufunuo na ndoto hizi huwa wanaota mitume na manabii,pia wale waja wema.

Hili kwa sisi watu wa dini halitupi shaka kwani tumeona katika vitabu vya dini na mifano iko mingi.

2. Kuna ndoto za kishetani yaani hizi huletwa na hofu au vitimbi vya shetani katika kumchezea na hizi huwa ni ndoto za uongo.

3. Kuna ndoto ambazo hutokana na yale ambayo binadamu anayawaza sana akienda kulala unayaota. Hizi huwa zinawekwa kwenye mizani.

Naendelea ....
 
mkuu umeongea mengi sana lakini ndani ya ulichoongea naamini kuna kitu una lag behind...
Naomba nikulize kitu ...what is the difference between dream and real katika maisha ya kawaida ya mwanadamu...??

Unaweza ukatofautisha between dream and real katika illusion uliyonayo...??

Nimekuliza hivo simply because maneno yako uliyosema kuwa unaweza ota unafukuzwa na simba kumbe ni ndoto tu...

Unaweza toa utofauti katika reality between real and dream??

Does somebody become aware if he /she is dreaming ??

kama huwezi tofautisha kati ya real and dream basi usiseme bado unaota au upo katika maisha ya kawaida...

Ndivyo ilivyo hata mtu akipata usingizi,concious yake huwa inampeleka kwenye maisha ambayo huwa anadhani ni kweli na huwa anafaiti kuyamaintain na ndo mana mtu akiota anakimbizwa na nyoka au simba atakimbia sana kadri anavyoweza ili mradi alinde maisha yale na hawezi jua kama anaota ila mpaka atakaposhituka ndo atajua kuwa alikuwa anaota na atazalau sana na kuahidi kuwa hataweza tena kuogopa kitu chochote akiwa ndotoni but when he sleeps again huota ndoto ambazo matukio anayoyafanya huyapigania ajiokoe....

Ndo mana ni ngumu kusema real na dreal ni ipi ina mazingira harisi tunayoyaishi...illusion ipo pote mkuu..

Hujawahi patwa na mikasa ambayo umefanya blunder ( mistake ) za kufa mtu ila unatamani zigeuke ziwe ndoto ili ukiamka iwe kama ulikuwa unaota kisha uendelee na maisha mengine lakini ngoma inafell ...!!ulishawahi patwa na mkasa wowote ambao jamiii inaenda kuushuhudia kwa aibu kali...??ila ukatamani iwe ndoto. .!!?? Naona hujawahi

ndivyo ilivyo hata kwenye ndoto unakuwa unaota umeshika mabilioni ya pesa lakini unamka asubuhi hola na unalaaani sana kitendo kile kuwa kwanini kisiwe reality....lakini ukiambiwa leo hii kuwa ni yapi mazingira ungeyachagua kati ya maisha uliyoyapata ndotoni na unayoyaishi katika concious form...?? ni yapi yangekupendeza...??

Basi ndivyo ilivyo ngumu kujua which is real between Dream and reality ya kimachomacho....

Death has codes to eplain the reality behind.....

Kuna fumbo kubwa juu ya uhalisia unaouishi mkuu....ukitaka kujua kuwa dreams unazoota zinamata sana jaribu kujiuliza kwanini kila ndoto mbaya unayoota huwa haifiki mwisho.....?? na siku ukikamatwa ukiwa ndotoni what will happen?? ulishawahi jiuliza ...?!

Manake nini, kama ulikuwa unaota unakimbizwa na nyoka au simba ile amekaribia kukukamata huwa unashituka gafla na ndoto inaishia pale ..kama isingekuwa na maana basi angekugonga halafu ukasikilizia maumivu huko huko ndotoni ila kwanini kuna kitu kinakuamsha fasta ili usipatwe na tukio lile...

(kuna kitu)......

Ndo mana wanakwambia kuwa dreams reflect another part of your life mkuu...there is somewhere (place in dimension plane) or different plane where your soul goes in both concious and dream life conditions..

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhan ntakua na maisha yabaina mbil sasa cjui yap ndiyo ya kwel? Labda huko ndotoni naendaga kusalimia tu na kurudi? Je wale wasioota kabisa inakuaje? Wakilala wanakua wap?

Kuota unapolala inategemeana na subconcious dream centre imeamua nini siku hiyo....

kila ukilala ni lazima kutokea concious shift na inategemea na subconcious dream centre imeamua imepokea backup intensity katika level ipi ...

kila ukilala ni lazima itokee concious shift ambapo kunakuwa na shifting ya recognition awareness kutoka illusion plane of reality kwenda another plane of realm...

hivyo basi mtu ili aweze kukumbuka alicho ota inategemea na cognition turn ya ubongo wake juu ya tukio lile...

Kuna ndoto zingine unaweza ukaota lakini kufikia asubuhi au ukiamka unashindwa kujua kama uliota au laaa...
Na hii ni kutokana na cognition memory center kushindwa kuleta taarifa kwa haraka zaidi kwenye concious centre ya ubongo ili uweze kukumbuka ulipokuwa kwenye hiyo plane nyingine ya maisha...

Frequency na intensity ya concious shift ndo inayodetermine mtu kukumbuka au laaah ..

kila ndoto ina threshold ( Intensity) maalumu katika kufanyiwa backup memory kwenye cognition centre...

Threshold filter ya intensity ya ndoto ipo kwa ajili ya kufilter hizo shifting frequency katika plane tofauti...

kama mtu umeanza kuota na Intensity ya kushift from concious awareness kwenda plane nyingine ni ndogo manake concious memory centre itashindwa kupokea back up za mazingira ambako concious yako imeenda na ukiamka hutakumbuka ulichokuwa unakifanya ndotoni...

Ila kama concious shift frequency ipo above threshold level, lazima kutakuwa na back up ya taarifa kwenye cognition memory centre na ukiamka lazima back up itafanyika na utakumbuka ulichokuwa unakifanya....

N.B ...inasemekana kuwa mtu anapokuwa anakufa ,concious shifting huwa inakuwa katika frequency level ya juu sana ( Ultrasonic concious shifting) kiasi cha kumfanya mtu kushindwa kuwa back kwenye normal level ya reality anayokuwa anaishi mtu..

Ni Ultrasonic range ya concious shift ambapo concious shift huwa inahama katika plane za juu sana na energy kubwa inahitajika kurudisha kwenye normal level...thats how somebody dies..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuota ukilala inategemea na subconcious dream centre imeamua nini siku hiyo....

kila ukilala ni lazima kunatokea concious shift ambapo Kuota ukilala inategemea na subconcious dream centre imeamua imepokea back up intensity katika level ipi ...

kila ukilala ni lazima kutokee concious shift ambapo kunakuwa na shifting ya recognition awareness kutoka illusion plane of reality kwenda another plane of realm...

hivyo basi mtu ili aweze kukumbuka alicho ota inategemea na cognition turn ya ubongo wake juu ya tukio lile...

Kuna ndoto zingine unaweza ukaota lakini kufikia asubuhi au ukiamka unashindwa kujua kama uliota au laaa...
Na hii ni kutokana na cognition memory center kushindwa kuleta taarifa kwa haraka zaidi kwenye concious centre ya ubongo ili uweze kukumbuka ulipokuwa kwenye hiyo plane nyingine ya maisha...

Frequency na intensity ya concious shift ndo inayodetermine mtu kukumbuka au laaah ..

kila ndoto ina threshold ( Intensity) maalumu katika kufanyiwa backup memory kwenye cognition centre...

Threshold filter ya intensity ya ndoto ipo kwa ajili ya kufilter hizo shifting frequency katika plane tofauti...

kama mtu umeanza kuota na Intensity ya kushift from concious awareness kwenda plane nyingine ni ndogo manake concious memory centre itashindwa kupokea back up za mazingira ambako concious yako imeenda na ukiamka hutakumbuka ulichokuwa unakifanya ndotoni...

Ila kama concious shift frequency ipo above threshold level, lazima kutakuwa na back up ya taarifa kwenye cognition memory centre na ukiamka lazima back up itafanyika na utakumbuka ulichokuwa unakifanya....

N.B ...inasemekana kuwa mtu anapokuwa anakufa ,concious shifting huwa inakuwa katika frequency level ya juu sana ( Ultrasonic concious shifting) kiasi cha kumfanya mtu kushindwa kuwa back kwenye normal level ya reality anayokuwa anaishi mtu..

Ni Ultrasonic range ya concious shift ambapo concious shift huwa inahama katika plane za juu sana na energy kubwa inahitajika kurudisha kwenye normal level...thats how somebody dies..

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee....
 
Hebu mkuu, jaribu kueleza hapa kwa kirefu kidogo. Hali hii ina effect gani kwa mtu akishakufa tayari?
 
Back
Top Bottom