According to biocentrism, death is an illusion: Kwa anayeifahamu nadharia ya biocentrism anielezee kwa manufaaa ya wengine pia

Sijajua unateseka wapi ,bado sijakuelewa....kama nimetaja terminology ambazo huzielewi kwanini hujauliza ila unasemea katika plural form kuwa watu hawazielewi....??

Kama hujaelewa kitu ni bora ukauliza kuliko kuquote paragraph halafu at the end unabaki pale pale...

Kama kosa ni kutaja hizo terminology basi nisaidie kwa lugha ya kiswahili tujue zinaandikwaje kwa kiswahili...


Hivi nani alikuambia kuwa kila kitu( Terminology) lazima iandikwa kwa kishwahili ndo itaeleweka kwa wengi...

Sio kila neno unaweza tohoa kuingia kwenye kishwahili...





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usikatea hebu soma bandiko lako toka paragraph ya 5.

Hizo paragraph ukizisoma unatoa ujumbe kuwa huko kwenye Esoteric knowldge ndiko unakotoa maelezo yako mpaka mengine huwezi elezea.


Esoteric knowledge huwa haieleweki kwa sababu hutumii akili ku reason. Bali unajuwa tbrough realization kwa kutumia intuition.

Kama nimekukwaza nisamehe bure na yaishie hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala hata siwezi kukwazika kwa sababu unachopinga ndo unashindwa kukielezea katika maneno mengine..kama unaweza toa ufafanuzi juu ya concious shift katika maelezo mengine nitakuona mtu muhimu sana...nipo hapa kuelekezana mkuu..

sasa Esoteric knowledge unakataa kuwa huwezi fundishwa na unasema inakuja tu....?? kwanini haiji kizembe na watu wanaimiza vichwa hunu JF daily...??kwamba inakuja tu...??

Daaaah aise we jamaa hata sijakuelewa...umekuja kucriticize kitu ambacho bado wew mwenyewe hujakielewa..

unasahau kuwa hata hiyo realization bado ni technique kuifahamu na ndo mana watu wanaelekezwa kupitia stages mbalimbali...

Ila shida yako moja nimeijua ,ni hapo unataka kulazimisha kuwa nimekuja kujinadi kuwa nimefundwa esoteric knowledge kitu ambacho sijasema...

Hiyo ilikuwa ni katika kujibu swali la mjumbe mmoja kuwa elimu inatoka wapi...

Usiwe unakurupuka na kuja kupinga kitu halafu mwisho wa siku unabaki pale pale tena...

By the way kinachoshangaza ni kipi kusikia mtu kapata accesz ya kupata hiyo elimu labda...?? unakereketwa na lipi mkuu...??

Kama mtu kaelezea namna jinsi concious inavyoshift kutoka plane moja ya reality kwenda kwenye realm nyingine huku ikuhusisha mambo ya threshold frequency ni wapi kuna maelezo mbadala labda...kama unaamini yapo maelezo mbadala tofauti na hayo leta basi watu wanufaike kuliko kupinga halafu wew mwenyewe bado hutoi unachokifahamu ...

Ungeelezea jinsi concious shift inavyotokea katika mfumo mwingine mimi ningekuona bonge la jamaaaaa ila kwa kuwa umejikita na kupinga basi ni dhahili una lako jambo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sijakupata kabisa,yani roho ni tofauti ya mwili wangu na mwili kama wangu! Ndio vp hivi mkuu?
Wewe unamwili unautumia hapa kuandika hizi jumbe lakini somewhere kuna mwili mwingine wenye kila kitu kinachofanana na vitu ulivyo navyo yaani mikono, kichwa, macho n.k. lakini mwili huo tunauita maiti, umekufa, hauna uwezo wa kufanya haya tunayoyafanya. Wew unauhai, tofauti na mwili uliokufa hauna uhai. ROHO ni uhai uliomwilini kwa mtu aliye hai.

Sijui nimeeleweka, si labda sikujua kwa nini kati yenu mulikuwa hamjui Roho nini? Au ulikuwa utani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa hamna Elimu ulioitoa zaidi ya uwongo na kujaribu kujificha kwenye esoteric world.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nachojua mie roho ndio hufanya kuwepo uhai,na uhai ni kitu chenye kumuwezesha kiumbe kuishi. Sasa swali la roho hasa ni nini kwa kweli sijui hasa roho ni nini.
 
kwanini nimekwambia uelezea tuone utapita wapi ili watu wanufaike ila unapita kushoto...
mwaga shule basi mkuu


Sent using Jamii Forums mobile app
HII NDIO MADA:IS DEATH UN ELLUSION

Katika pita pita zangu za hapa na pale katika kujifunza mambo mapya hasa kuhusu kifo nimekutana na mtazamo huu kuwa kifo ni mauzauza tu ya akili yetu, kifo hakipo. Na watu wanaoshikilia msimamo huu wanatumia nadharia ya 'biocentrism' kuthibitisha maoni hayo. Nimesoma sana na kuangalia video nyingi kuhusu hiyo ishu lakini naona sielewi elewi bado. Kwa yeyote anayeifahamu vizuri hebu atuelezee hapa.

Natanguliza shukrani.

JIBU: Ndio

SABABU: Tuko kwenye dunia ya mauzauza kiasi cha kuzani nafsi zetu ni Milli na akili na tuna Roho, tupo mahali fulani wakati fulani tuu, lakini ukweli sisi ni Roho ambayo ikokwenye moment, kila mahali na kila wakati, kwa sababu za kimaumbile, ili Roho ikamilike na ijitambue, inahitaji kutumia akili ili kupata uamuzi wa busara wa kuutumia mwili kutenda ionayo yana yanafaa kujikamilisha. Roho ndio ina miliki mwili na akili sio kinhume chake, mwili usipofaa inatoka na kuuacha ndio kinaitwa kifo. Roho hazaliwi wala haifi hata kama haonekani machoni kwetu, siku ya kufa Roho hurudi kwenye hali yake kabla kuinglia mimba. Sasa inategemea tunangalikia kifo kwa kusimamia leve wapi. Kama ni level ya Rohoni hamna kifo kama ni le el ya duniani pia tunapaswa kujiuliza jee sisi ni miili? Au miili na akili kati ya ni vitumizi vyetu? Kama nguo, viatu, kofia n.k na kama tumeweza kushuhudia madiliko yakifanyika kwenye miili yetu na kumbukumbu zetu basi Miili yetu ni vitumizi vyetu kifo ni kitendo cha kuacha mwili wenye akili usiofaa, hiyo haimaanishi wenye hiyo miili iliyokufa tumekufapia.

Kwa sababu hiyo nainisha kifo ni mauzauza.

He who thinks that Spirit kills, and he who thinks of It as killed, are both ignorant . The spifit kills not, nor is it killed. It was not born ; It will never die, no once been having been, can It ever cease to be. Unborn, Eternal, Ever-unduring, yet Most Ancient, the spirit dies not when the body is dead. - in the Holy book the Bhagavad Gita.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifa unapotea tu kama mwanga wa kibatari au taa unavopoteaga kikizima.

Kwani unajua kabla ya wee kuwako ulikuwa waapi?

Vivyo hivo hata ukifa unakuwa kama kabla ya wee kuwako hapa duniani. Full stop.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante ...hayo ni mawazo yako kama wengine walivyotoa mawazo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kujua mambo lazima uji pre - empty. Nilipo anza cheza yoga nilikuwa mbishi sana, mwalimu wangu alichukua glass akajaza Cocacola then akachua lita ishirini ya maji akaniambie ni miminie yale maji yote kwenye ile glass kama nitapata rangi ya maji pure, lita 20 ilisha lakini rangi coke bado ilioonekana kwenye glass. Akaniambia ubishi wako utasabisha hutakuwa Coke wala maji. Sasa inapotaka kujua jambo jipya, jifanye hujui, sikiliza, then jipe muda wa kutafakari, then ether replace, discard, au merge.
Kwani mie nimefanya nini hadi useme ni mbishi na ulitaka niweje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…