According to biocentrism, death is an illusion: Kwa anayeifahamu nadharia ya biocentrism anielezee kwa manufaaa ya wengine pia

crunkstaa

crunkstaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Messages
308
Likes
65
Points
45
crunkstaa

crunkstaa

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2012
308 65 45
mkuu umeongea mengi sana lakini ndani ya ulichoongea naamini kuna kitu una lag behind...
Naomba nikulize kitu ...what is the difference between dream and real katika maisha ya kawaida ya mwanadamu...??

Unaweza ukatofautisha between dream and real katika illusion uliyonayo...??

Nimekuliza hivo simply because maneno yako uliyosema kuwa unaweza ota unafukuzwa na simba kumbe ni ndoto tu...

Unaweza toa utofauti katika reality between real and dream??

Does somebody become aware if he /she is dreaming ??

kama huwezi tofautisha kati ya real and dream basi usiseme bado unaota au upo katika maisha ya kawaida...

Ndivyo ilivyo hata mtu akipata usingizi,concious yake huwa inampeleka kwenye maisha ambayo huwa anadhani ni kweli na huwa anafaiti kuyamaintain na ndo mana mtu akiota anakimbizwa na nyoka au simba atakimbia sana kadri anavyoweza ili mradi alinde maisha yale na hawezi jua kama anaota ila mpaka atakaposhituka ndo atajua kuwa alikuwa anaota na atazalau sana na kuahidi kuwa hataweza tena kuogopa kitu chochote akiwa ndotoni but when he sleeps again huota ndoto ambazo matukio anayoyafanya huyapigania ajiokoe....

Ndo mana ni ngumu kusema real na dreal ni ipi ina mazingira harisi tunayoyaishi...illusion ipo pote mkuu..

Hujawahi patwa na mikasa ambayo umefanya blunder ( mistake ) za kufa mtu ila unatamani zigeuke ziwe ndoto ili ukiamka iwe kama ulikuwa unaota kisha uendelee na maisha mengine lakini ngoma inafell ...!!ulishawahi patwa na mkasa wowote ambao jamiii inaenda kuushuhudia kwa aibu kali...??ila ukatamani iwe ndoto. .!!?? Naona hujawahi

ndivyo ilivyo hata kwenye ndoto unakuwa unaota umeshika mabilioni ya pesa lakini unamka asubuhi hola na unalaaani sana kitendo kile kuwa kwanini kisiwe reality....lakini ukiambiwa leo hii kuwa ni yapi mazingira ungeyachagua kati ya maisha uliyoyapata ndotoni na unayoyaishi katika concious form...?? ni yapi yangekupendeza...??

Basi ndivyo ilivyo ngumu kujua which is real between Dream and reality ya kimachomacho....

Death has codes to eplain the reality behind.....

Kuna fumbo kubwa juu ya uhalisia unaouishi mkuu....ukitaka kujua kuwa dreams unazoota zinamata sana jaribu kujiuliza kwanini kila ndoto mbaya unayoota huwa haifiki mwisho.....?? na siku ukikamatwa ukiwa ndotoni what will happen?? ulishawahi jiuliza ...?!Manake nini, kama ulikuwa unaota unakimbizwa na nyoka au simba ile amekaribia kukukamata huwa unashituka gafla na ndoto inaishia pale ..kama isingekuwa na maana basi angekugonga halafu ukasikilizia maumivu huko huko ndotoni ila kwanini kuna kitu kinakuamsha fasta ili usipatwe na tukio lile...

(kuna kitu)......

Ndo mana wanakwambia kuwa dreams reflect another part of your life mkuu...there is somewhere (place in dimension plane) or different plane where your soul goes in both concious and dream life conditions..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu nyingi Tupo sawa mkuu ila now livyomuelewa mtoa mada Ana relate out life na something beyond Kama sijamkosea. Mfano computer simulator may be. Yaani ule uhalisia unaouona na Yale mazingira watu ndio our universe. So kuna uwezekano ni program iliokwisha andikwa na unakuwa upgraded day after day mkuu.

Pia tunaweza kujiuliza how we as written program in our universe tunafikiria something like this but we have no proof kuwa simulation zetu hakuna character anaefikiria hilo and all in all we are product of something as per different theory. Then we may be created in our masters resembleness so we can do the same chief.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,006
Likes
2,252
Points
280
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,006 2,252 280

kuna namna ambayo unaweza uka hack off matrix system ukatoka nje ya mfumo wa illusion pia ukarudi tena...Tazama Movie ya The matrix( 1999) utajua walichokuwa wanamanisha kuwa tupo kwenye simulation ambayo controller ni ( Mtu) au watu wengine ambao wapo nje ya mfumo wa Matrix....

It's just like The Allegory of the Cave, or Plato's Cave ambayo imeelezea kuwa mwanadamu ni kama object iliyopewa maisha katika Illusion form na haiwezi kutoka nje ya mfumo huo kama haitajaribu kuhoji mfumo mwingine nje na ufahamu juu ya mfumo aliopewa..

kuna maisha mengine ambayo ni reality...

Ukisoma vizuri Allegory ya Plato utagundua kuwa inawezekana kabsa kutoka nje ya Illusion kisha ukautazama ulimwengu katika reality form at the same time utaweza tofautisha Illusion na Reality...

Nothing exists katika dimensions za Reality ila Illusion iliyopo ndo inakufanya uone milima,watu,majana,wanyama,vifaaa and other touchable objects,but nothing exists kama hayo unayoyaona..just your Illusion of Your interpretation...your mind interpretes things at Illusion form depending na level uliyosubjectuwa...

Self realization ndo itakayokutofautisha na Reality from Illusion.

Everything you see around you is just a reflection of yourself...ni kwa sababu unaona vitu but everything is yourself and its energy...

You are the infinite energy at reality form but look like human being at Illusion form...

Understand and move out from illusion perception ,see things under higher dimensions to distinguish Illusion and reality...

Ubongo wako ndo mashine pekee inayogeuza maono hayo na kuyasoma kama Reality ila ni Illusion...
so you have to jump into other stages of realization ndo utaweza kuenjoy your purpose kuwepo katika dunia hii...

Everything has been subjected to you and your mind ( Mental) to define those Ilusions as real...

Thanks chief!. As always umefunga mjada mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
879
Likes
721
Points
180
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2017
879 721 180

Zurri inabidi areincarnate 50 times kukuelewa

choose him as your disciple atakufa kafir_yupo very low in vibe hawezi pata access ya kwenda juu na mfinyango vile_humuonei huruma..!
 
unajua nimecheka kwa sauti kubwa sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
3,961
Likes
4,308
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
3,961 4,308 280
Zurri inabidi areincarnate 50 times kukuelewa

choose him as your disciple atakufa kafir_yupo very low in vibe hawezi pata access ya kwenda juu na mfinyango vile_humuonei huruma..!
Huko nilitoka takribani miaka 8 au 9. Yeyote anae wazungumzia wanafalsafa na kuwafanya kuwa ndio marejeo ( Reference) yake huwa namuona bado yuko gizani na kuna vitu amevikosa.

Kunitahia mawazo ya kina Plato,Socrates,Homeri,Anaksimenesi,Zeno,Anaksimanda,Homeri naona bado yuko gizani.

Mtu kuleta marejeo na kupigia mfano filamu/Maigizo bado namuona yuko mbali na uhalisia.

Maigizo huwa hayatoki katika uongo,sababu maigizo huongeza au kupunguza katika uhalisia.

Sisi hatushughuliki na filamu bali sisi tunashughulika na kile kilicho bora zaidi yaani Uhalisia.

Nipo ....
 
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
879
Likes
721
Points
180
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2017
879 721 180
Huko nilitoka takribani miaka 8 au 9. Yeyote anae wazungumzia wanafalsafa na kuwafanya kuwa ndio marejeo ( Reference) yake huwa namuona bado yuko gizani na kuna vitu amevikosa.

Kunitahia mawazo ya kina Plato,Socrates,Homeri,Anaksimenesi,Zeno,Anaksimanda,Homeri naona bado yuko gizani.

Mtu kuleta marejeo na kupigia mfano filamu/Maigizo bado namuona yuko mbali na uhalisia.

Maigizo huwa hayatoki katika uongo,sababu maigizo huongeza au kupunguza katika uhalisia.

Sisi hatushughuliki na filamu bali sisi tunashughulika na kile kilicho bora zaidi yaani Uhalisia.

Nipo ....
nataka nijifunze kitu kutoka kwako_vipi upo tayari.?

usijali ni kuhusiana na imani yako
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
3,961
Likes
4,308
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
3,961 4,308 280
wakati anasafiri katika safari zake hizo_alikuwaje kimaumbile

nikimaanisha aliweza safiri akiwa pamoja na mwili wake wa nyama au alikuwa tofauti ikiwa na maana kiroho..?
Umewahi kukisoma hicho kisa ?

Hivi ukiambiwa "Nimemchukua mwanangu kutoka ubungo kumpeleka posta" kuna haja ya kujiuliza kimwili au kihisia ?

Jibu liko wazi ni kuwa alichukuliwa kimwili kama aya ilivyozungumza.
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
783
Likes
163
Points
60
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
783 163 60
1. Mimba
2. na 3. Ki ukweli Kuna Roho moja tuu.
Mkuu,
1. Roho huanza kumiliki mwili wakati gani? Inapotungwa mimba au mtoto anapozaliwa?
2. Watu wawili (roho mbili zinazomiliki mwili ) wamekutana kimwili kutengeneza mwili ambao roho itamiliki. Huu mwili wa mtoto ambao roho inapokea roho inatoka wapi? Kwa baba au kwa mama? Au kila mtu anatoa nusu.
3. Naomba kujua je Kuna Roho tofauti tofauti sababu tuna wanyama pia wana miili na akili. Kwa mfano simba, mbwa au ngombe. Na roho ya ndo kila kitu na inachohitaji ni mwili tu. Je kuna uwezekano roho ya binadamu ikatumia mwili wa sokwe?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
783
Likes
163
Points
60
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
783 163 60
Ok nipe darsa,Roho na uhai ni kitu kimoja kwa maana ipi? Kwa maana ya kwamba hayo maneno yote yana tafsiri moja kama kwa mfano wali na ubwabwa,kwamba maneno hayo mawili yote yanakusudia kitu kimoja tu na si vinginevyo.
Maneno tofauti yenye maana ileile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
783
Likes
163
Points
60
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
783 163 60
Kweli kabisa, lakini unaweza shindwa kupata jipya kama wewe unasimamia mtezamo wako na huupi upande wa pili nafasi ya kuutafakari.
Kila mtu humu kaja kujifunza hivyo kwenye majadiliano mie naweza kujifunza kutoka kwako na wewe unaweza kujifunza kutoka kwangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
783
Likes
163
Points
60
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
783 163 60
Hata ikiwa ndogo, sp long bukumwaga coke kwanza, bado utapsta trace ya coke, hutapata maji pure water.
Elimu ya mifano inahitajika pia. Sasa unaweza kumimina maji yote lita ishirini kwenye glass na kutarajia mabadiliko hayo ?

Au hiyo glass ikoje ?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
783
Likes
163
Points
60
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
783 163 60
Mkuu naomba unihakikishie kutokana na experience yako juu ya yoga; Je ulikuwa na uwezo wa kujitambua na kuongea na other spirits zilizo katika ulimwengu usioonekana kwa macho?
Je ulikuwa na uwezo wa kuliona jambo katika ulimwengu wa roho na kuliamuru lidhihirike katika ulimwengu huu wa macho?
Ni kweli uliipata ile the highest level of peace in your mind that's believed to be the peace of atenal?
Je Yoga ina faida gani katika maisha ya mwanadamu?
Nitashukuru kwa majibu yako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kama hicho, ikitokea sio sababu ya Meditation bali ni illusination na anticipation mtu kama wewe unaweza ona hiyo kwa sababu umesha tarajia. Kwenye group tulikuwa na watu waliotusimulia kuwa walikuwa waongea Ma guru, na other spirit lakini Guide wetu alikuwa ana waambia sio meditation bali ni illusination for effective meditation tulikuwa tunafunga kula at lest 72 hours with nothing to eat or drink then after every 12 hours you get half grass of juice, kipande kidogo cha tunda ili kudhoofisha akili illusination so illusination was possible. Mimi na mwanga unaobalika na sauti zinatbadilisha mawimbi ya sauti, kila mwanga unavya kumwakia na sauti inavyobadilika ndio una jisikia ukopeponi (bliss) Unayoyaona huyatambui mpaka unapokuwa kawaida yaani ulimwengu huu wa darasa. Kule unapewa uwezo wa kujifunza na kutambua na kung'amua, ukirudi hapa unaona differently the una jiadjust accordingle.

Kwa mfano siku niliyopata ngasi ya Great Soul au Mahatma au kuwa Beyond the mind, linitoka kwenye fasting meditation ya siku saba nakumbuka nikwenda Coco beach kupumzika, ilipita couple moja bahari wakitembea na huku wameshikana mikono na kukumbatiana kwa mapenzi sana, ni jambo la kawaida lakini mimi niliwashaangaa mpaka wenzangu wakanishaangaa mimi. Nilikuwa niliwaona kama wako sawasawa yaani si wanaume wala wanawake kila mmoja anajifanya yaani mmoja kajifanya dume na mungine kajifanya jike. Nilipowageukia wenzangu duh nikakuta hata wao wanajifanya as if wako kwenye theather wanafanya maigizo, nilipompa hiyo habari Guide wetu akanihakikishia kuwa umepata uwezo wa kuona na kutambua zaidi ya Mwili na Akili, your a Great Soul automatically interactions yangu kwa watu na vitu ilibadilika. Nitaendelea ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fyddell

fyddell

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Messages
2,629
Likes
1,477
Points
280
fyddell

fyddell

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2011
2,629 1,477 280
Itakuwa vizuri sana mkuu kama utaendelea. Pia tumefurahi kupata mtu anayetupa ushuhuda wa what he was going through in the meditation.
Kuna wengine wanafundisha tu ila hawatuambii experiences zao so inakuwa ngumu kufanya maamuzi ya kufanya hiko kitu kama sijajua faida zake hasa.
Shukrani sana mkuu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,250,102
Members 481,224
Posts 29,720,683