lifecoded
JF-Expert Member
- May 9, 2018
- 1,424
- 4,325
Sijajua unateseka wapi ,bado sijakuelewa....kama nimetaja terminology ambazo huzielewi kwanini hujauliza ila unasemea katika plural form kuwa watu hawazielewi....??I will mension teminology ulizo tumia;-
- Concious Shift
- Sub Concious dream Center
- Shift recognition awareness
- Recognation Memory Center
- Threxhold filter ya Memory
With those confusing names and others i just mentioned few and in the lines the using words esoteric knowledge you are confusing peoples as if you got those from so called "Esoteric" knowledge. I beeing persuer of Esoteric (Hidden) knowledge decide to question. Mamlaka hayo ya kuwaeleza watu kitu ambacho kumbe unaamini kuwa inawezekana ikawa hivyo kama vile ndio ukweli umeyapata wapi? Any way nimependa unavyojituma ku imagine things.
Tafuta mtu atayekufundisha technics ya kuingia Rohoni kwako, all knowledge are there, every you see or here is reflection of what you have go and tap it. Kumbuka hamna mtu alikufundisha kutambua Rangi utambuzi ulitoka ndani yako, wazazi na mwalimu wakufundisha kutaja mijina. The same to everything.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujaelewa kitu ni bora ukauliza kuliko kuquote paragraph halafu at the end unabaki pale pale...
Kama kosa ni kutaja hizo terminology basi nisaidie kwa lugha ya kiswahili tujue zinaandikwaje kwa kiswahili...
Hivi nani alikuambia kuwa kila kitu( Terminology) lazima iandikwa kwa kishwahili ndo itaeleweka kwa wengi...
Sio kila neno unaweza tohoa kuingia kwenye kishwahili...
Sent using Jamii Forums mobile app