According to biocentrism, death is an illusion: Kwa anayeifahamu nadharia ya biocentrism anielezee kwa manufaaa ya wengine pia

lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,006
Likes
2,252
Points
280
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,006 2,252 280
I will mension teminology ulizo tumia;-

- Concious Shift
- Sub Concious dream Center
- Shift recognition awareness
- Recognation Memory Center
- Threxhold filter ya Memory

With those confusing names and others i just mentioned few and in the lines the using words esoteric knowledge you are confusing peoples as if you got those from so called "Esoteric" knowledge. I beeing persuer of Esoteric (Hidden) knowledge decide to question. Mamlaka hayo ya kuwaeleza watu kitu ambacho kumbe unaamini kuwa inawezekana ikawa hivyo kama vile ndio ukweli umeyapata wapi? Any way nimependa unavyojituma ku imagine things.

Tafuta mtu atayekufundisha technics ya kuingia Rohoni kwako, all knowledge are there, every you see or here is reflection of what you have go and tap it. Kumbuka hamna mtu alikufundisha kutambua Rangi utambuzi ulitoka ndani yako, wazazi na mwalimu wakufundisha kutaja mijina. The same to everything.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua unateseka wapi ,bado sijakuelewa....kama nimetaja terminology ambazo huzielewi kwanini hujauliza ila unasemea katika plural form kuwa watu hawazielewi....??

Kama hujaelewa kitu ni bora ukauliza kuliko kuquote paragraph halafu at the end unabaki pale pale...

Kama kosa ni kutaja hizo terminology basi nisaidie kwa lugha ya kiswahili tujue zinaandikwaje kwa kiswahili...

Hivi nani alikuambia kuwa kila kitu( Terminology) lazima iandikwa kwa kishwahili ndo itaeleweka kwa wengi...

Sio kila neno unaweza tohoa kuingia kwenye kishwahili...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
783
Likes
163
Points
60
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
783 163 60
Usikatea hebu soma bandiko lako toka paragraph ya 5.

Hizo paragraph ukizisoma unatoa ujumbe kuwa huko kwenye Esoteric knowldge ndiko unakotoa maelezo yako mpaka mengine huwezi elezea.

Esoteric knowledge huwa haieleweki kwa sababu hutumii akili ku reason. Bali unajuwa tbrough realization kwa kutumia intuition.

Kama nimekukwaza nisamehe bure na yaishie hapa.
The body has nothing to do with your concious awareness....

kila unachokiona katika maumbo tofauti ni concious katika morphology tofauti...

Hata hiyo miti inayoiona inaposses concious awareness katika degree ndogo sana ndo mana sisi tuna contunnum range kubwa kuliko viumbe kama wanyama na ndege kiasi cha kukufanya uwe na range kubwa ya kuundergo adaptation nyingi sana...

Kuna billions chance katika morphology tofauti za kuifanya concious awareness itulie( rest) ...

Kuna kitu kinaitwa Esoteric knowledge ,huu ni ufahamu ambao hupewa watu wachache sio lazima watu wote waelewe...

its like dakatari anasomea jinsi ya kutibu and he (she) knows how the drugs do inside the body( mechanism of action) lakini haimanishi kuwa madaktari wanaingia ndani ya mwili ku anticipate mechanism of action ,its just the way wanavyosoma katika syllubus zao ndo wanajikuta wanaelewa hivyo...but reality kuna watu wanajua how to manufacture those drugs..

Daktari kujua mechanism ya dawa hakukufanyi umulize kuwa alishawahi kuingia kwenye mwili akashuhudia jinsi dawa inavyoua bacteria....hii ndo kitu ambayo inapaswa uifahamu and you must believe ....

There are some teachings we call them ESOTERIC ,few people are taught how reality works na ukweli lazima uwe vile...

Swala la kuuliza how body morphologies do our concious awareness attain at high realms ni ngumu kuielezea kwa sababu inatolea kama Esoteric...

Kila kiumbe na range yake ya kutambua mabadiliko katika mazingira yanayomzunguka...

We human being tuna range kubwa ya kuundergo adaptations lakini tuna receive frequency za cognition katika lowest dimension crystal...

Tunazidiwa na Eagle ambaye ana high range ya kutambua mabadiliko ambayo yanakuja kumwathiri hata 1 month before na anatake into action kuliko mwanadamu...thus why secret societies use well Eagle katika kufanikiwa mambo yao...wanamtumia kusense mabadikiko ya concious ya mwanadamu before hata hajaweza ku be subjected kwenye mazingira tofauti kulingans na case study wanayotaka kumfanyia mwanadamu..

Mbwa na paka ni viumbe ambao wana higher range ya kusense concious shift kuliko mnyama yeyote ndo mana kabla hawajafa au kama kuna hatari huwa wanaanza kusepa mapema kabsaa mbali na mazingira yao...mbwa hawezi kufa mazingira ya nyumbani kwake....huwa anajua kabisa something bad is happening to me soon kisha anachagua mazingira ya kufia...

Ukitaka kudhihirisha hilo jiulize kwanini wazungu au watu ambao wapo civilized wanapenda sana kufuga mbwa au paka ...sio urembo...they have esoteric knowlege on how importance they posses kwenye maisha yetu...

Angalia hata sehemu zenye Earthquake Belt( Ukanda wa matetemeko) wanaoangamia zaidi ni binadamu na wanyama wengine lakini mbwa na paka huwa wanasavaivu na huwa wana uwezo wa kusense danger before haijatokea hata week moja kisha wanaanza kuhama makazi...

So swala la kujiuliza how body morphology do our concious attain ni swala ambalo ni wide range kwa sababu inategemea na level ya realm ambapo concious yake imeenda ku land depending na level ya conciousness uliyokuwa nayo before you died...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,006
Likes
2,252
Points
280
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,006 2,252 280
Usikatea hebu soma bandiko lako toka paragraph ya 5.

Hizo paragraph ukizisoma unatoa ujumbe kuwa huko kwenye Esoteric knowldge ndiko unakotoa maelezo yako mpaka mengine huwezi elezea.

Esoteric knowledge huwa haieleweki kwa sababu hutumii akili ku reason. Bali unajuwa tbrough realization kwa kutumia intuition.

Kama nimekukwaza nisamehe bure na yaishie hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala hata siwezi kukwazika kwa sababu unachopinga ndo unashindwa kukielezea katika maneno mengine..kama unaweza toa ufafanuzi juu ya concious shift katika maelezo mengine nitakuona mtu muhimu sana...nipo hapa kuelekezana mkuu..

sasa Esoteric knowledge unakataa kuwa huwezi fundishwa na unasema inakuja tu....?? kwanini haiji kizembe na watu wanaimiza vichwa hunu JF daily...??kwamba inakuja tu...??

Daaaah aise we jamaa hata sijakuelewa...umekuja kucriticize kitu ambacho bado wew mwenyewe hujakielewa..

unasahau kuwa hata hiyo realization bado ni technique kuifahamu na ndo mana watu wanaelekezwa kupitia stages mbalimbali...

Ila shida yako moja nimeijua ,ni hapo unataka kulazimisha kuwa nimekuja kujinadi kuwa nimefundwa esoteric knowledge kitu ambacho sijasema...

Hiyo ilikuwa ni katika kujibu swali la mjumbe mmoja kuwa elimu inatoka wapi...

Usiwe unakurupuka na kuja kupinga kitu halafu mwisho wa siku unabaki pale pale tena...

By the way kinachoshangaza ni kipi kusikia mtu kapata accesz ya kupata hiyo elimu labda...?? unakereketwa na lipi mkuu...??

Kama mtu kaelezea namna jinsi concious inavyoshift kutoka plane moja ya reality kwenda kwenye realm nyingine huku ikuhusisha mambo ya threshold frequency ni wapi kuna maelezo mbadala labda...kama unaamini yapo maelezo mbadala tofauti na hayo leta basi watu wanufaike kuliko kupinga halafu wew mwenyewe bado hutoi unachokifahamu ...

Ungeelezea jinsi concious shift inavyotokea katika mfumo mwingine mimi ningekuona bonge la jamaaaaa ila kwa kuwa umejikita na kupinga basi ni dhahili una lako jambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
783
Likes
163
Points
60
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
783 163 60
Mkuu sijakupata kabisa,yani roho ni tofauti ya mwili wangu na mwili kama wangu! Ndio vp hivi mkuu?
Wewe unamwili unautumia hapa kuandika hizi jumbe lakini somewhere kuna mwili mwingine wenye kila kitu kinachofanana na vitu ulivyo navyo yaani mikono, kichwa, macho n.k. lakini mwili huo tunauita maiti, umekufa, hauna uwezo wa kufanya haya tunayoyafanya. Wew unauhai, tofauti na mwili uliokufa hauna uhai. ROHO ni uhai uliomwilini kwa mtu aliye hai.

Sijui nimeeleweka, si labda sikujua kwa nini kati yenu mulikuwa hamjui Roho nini? Au ulikuwa utani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
783
Likes
163
Points
60
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
783 163 60
Hapa hamna Elimu ulioitoa zaidi ya uwongo na kujaribu kujificha kwenye esoteric world.
Wala hata siwezi kukwazika kwa sababu unachopinga ndo unashindwa kukielezea katika maneno mengine..kama unaweza toa ufafanuzi juu ya concious shift katika maelezo mengine nitakuona mtu muhimu sana...nipo hapa kuelekezana mkuu..

sasa Esoteric knowledge unakataa kuwa huwezi fundishwa na unasema inakuja tu....?? kwanini haiji kizembe na watu wanaimiza vichwa hunu JF daily...??kwamba inakuja tu...??

Daaaah aise we jamaa hata sijakuelewa...umekuja kucriticize kitu ambacho bado wew mwenyewe hujakielewa..

unasahau kuwa hata hiyo realization bado ni technique kuifahamu na ndo mana watu wanaelekezwa kupitia stages mbalimbali...

Ila shida yako moja nimeijua ,ni hapo unataka kulazimisha kuwa nimekuja kujinadi kuwa nimefundwa esoteric knowledge kitu ambacho sijasema...

Hiyo ilikuwa ni katika kujibu swali la mjumbe mmoja kuwa elimu inatoka wapi...

Usiwe unakurupuka na kuja kupinga kitu halafu mwisho wa siku unabaki pale pale tena...

By the way kinachoshangaza ni kipi kusikia mtu kapata accesz ya kupata hiyo elimu labda...?? unakereketwa na lipi mkuu...??

Kama mtu kaelezea namna jinsi concious inavyoshift kutoka plane moja ya reality kwenda kwenye realm nyingine huku ikuhusisha mambo ya threshold frequency ni wapi kuna maelezo mbadala labda...kama unaamini yapo maelezo mbadala tofauti na hayo leta basi watu wanufaike kuliko kupinga halafu wew mwenyewe bado hutoi unachokifahamu ...

Ungeelezea jinsi concious shift inavyotokea katika mfumo mwingine mimi ningekuona bonge la jamaaaaa ila kwa kuwa umejikita na kupinga basi ni dhahili una lako jambo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,006
Likes
2,252
Points
280
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,006 2,252 280
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
4,877
Likes
1,641
Points
280
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
4,877 1,641 280
Wewe unamwili unautumia hapa kuandika hizi jumbe lakini somewhere kuna mwili mwingine wenye kila kitu kinachofanana na vitu ulivyo navyo yaani mikono, kichwa, macho n.k. lakini mwili huo tunauita maiti, umekufa, hauna uwezo wa kufanya haya tunayoyafanya. Wew unauhai, tofauti na mwili uliokufa hauna uhai. ROHO ni uhai uliomwilini kwa mtu aliye hai.

Sijui nimeeleweka, si labda sikujua kwa nini kati yenu mulikuwa hamjui Roho nini? Au ulikuwa utani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nachojua mie roho ndio hufanya kuwepo uhai,na uhai ni kitu chenye kumuwezesha kiumbe kuishi. Sasa swali la roho hasa ni nini kwa kweli sijui hasa roho ni nini.
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
783
Likes
163
Points
60
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
783 163 60
kwanini nimekwambia uelezea tuone utapita wapi ili watu wanufaike ila unapita kushoto... mwaga shule basi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
HII NDIO MADA:IS DEATH UN ELLUSION

Katika pita pita zangu za hapa na pale katika kujifunza mambo mapya hasa kuhusu kifo nimekutana na mtazamo huu kuwa kifo ni mauzauza tu ya akili yetu, kifo hakipo. Na watu wanaoshikilia msimamo huu wanatumia nadharia ya 'biocentrism' kuthibitisha maoni hayo. Nimesoma sana na kuangalia video nyingi kuhusu hiyo ishu lakini naona sielewi elewi bado. Kwa yeyote anayeifahamu vizuri hebu atuelezee hapa.

Natanguliza shukrani.

JIBU: Ndio

SABABU: Tuko kwenye dunia ya mauzauza kiasi cha kuzani nafsi zetu ni Milli na akili na tuna Roho, tupo mahali fulani wakati fulani tuu, lakini ukweli sisi ni Roho ambayo ikokwenye moment, kila mahali na kila wakati, kwa sababu za kimaumbile, ili Roho ikamilike na ijitambue, inahitaji kutumia akili ili kupata uamuzi wa busara wa kuutumia mwili kutenda ionayo yana yanafaa kujikamilisha. Roho ndio ina miliki mwili na akili sio kinhume chake, mwili usipofaa inatoka na kuuacha ndio kinaitwa kifo. Roho hazaliwi wala haifi hata kama haonekani machoni kwetu, siku ya kufa Roho hurudi kwenye hali yake kabla kuinglia mimba. Sasa inategemea tunangalikia kifo kwa kusimamia leve wapi. Kama ni level ya Rohoni hamna kifo kama ni le el ya duniani pia tunapaswa kujiuliza jee sisi ni miili? Au miili na akili kati ya ni vitumizi vyetu? Kama nguo, viatu, kofia n.k na kama tumeweza kushuhudia madiliko yakifanyika kwenye miili yetu na kumbukumbu zetu basi Miili yetu ni vitumizi vyetu kifo ni kitendo cha kuacha mwili wenye akili usiofaa, hiyo haimaanishi wenye hiyo miili iliyokufa tumekufapia.

Kwa sababu hiyo nainisha kifo ni mauzauza.

He who thinks that Spirit kills, and he who thinks of It as killed, are both ignorant . The spifit kills not, nor is it killed. It was not born ; It will never die, no once been having been, can It ever cease to be. Unborn, Eternal, Ever-unduring, yet Most Ancient, the spirit dies not when the body is dead. - in the Holy book the Bhagavad Gita.Sent using Jamii Forums mobile app
 
Supermind

Supermind

Member
Joined
Apr 22, 2018
Messages
46
Likes
24
Points
15
Supermind

Supermind

Member
Joined Apr 22, 2018
46 24 15
Maelezo yako yanaonyesha ni jinsi gani uko mbali naasuala ya elimu. Hivi tangu elimu ya ki secular ikamfanya kuwa na akili ya utambuzi na ung'amuzi wa mambo kama yalivyo.

Nakukumbusha tu hili suala la vidato ni makubaliano tu waliyoyaweka binadamu.

Hapa nakukumbusha tena shahada ni makaratasi tu ambayo yanakuonyesha kama wewe umesoma ila hayaonyeshi kama wewe umefahamu ulicho kisoma au hayaonyeshi kama wewe ni mjuzi,ndio maana leo hii tuna soma athari za watu ambao ukiwaamsha(Waliokufa) leo ukiwaambia mambo ya form one hawakuelewi.

Ama kuhusu hoja zangu ni rahisi sana,na niliuliza swali kutokana na mada husika na hili swali sijajibiwa na hakuna wa kunijibu na zipo sababu za kielimu zinazofanya usiweze au msiweze kujibu swali hilo.

Hapa nauliza tena swali hili "Ukifa unaenda wapi ?"

Kaka akili iliyo salama huwa haikatai ukweli,unapoleta mada na kushindwa kujibu hoja tunsema wewe hujaelewa kile ulichokiegemea.

Nipo ....
Ukifa unapotea tu kama mwanga wa kibatari au taa unavopoteaga kikizima.

Kwani unajua kabla ya wee kuwako ulikuwa waapi?

Vivyo hivo hata ukifa unakuwa kama kabla ya wee kuwako hapa duniani. Full stop.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
783
Likes
163
Points
60
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
783 163 60
Ila kwa ubishi huo sizani, any tufanye utani tuu, hivi kama hunui baba yako na kuna mtu mbili zimejitokeza zinaapa kwamba zote ni baba yako si unatumia DNA, inaanzwa kupima damu yako.
Sawa wewe ishia hapo ila mimi bado nipo humu naendelea kujifunza.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,006
Likes
2,252
Points
280
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,006 2,252 280
HII NDIO MADA:IS DEATH UN ELLUSION

Katika pita pita zangu za hapa na pale katika kujifunza mambo mapya hasa kuhusu kifo nimekutana na mtazamo huu kuwa kifo ni mauzauza tu ya akili yetu, kifo hakipo. Na watu wanaoshikilia msimamo huu wanatumia nadharia ya 'biocentrism' kuthibitisha maoni hayo. Nimesoma sana na kuangalia video nyingi kuhusu hiyo ishu lakini naona sielewi elewi bado. Kwa yeyote anayeifahamu vizuri hebu atuelezee hapa.

Natanguliza shukrani.

JIBU: Ndio

SABABU: Tuko kwenye dunia ya mauzauza kiasi cha kuzani nafsi zetu ni Milli na akili na tuna Roho, tupo mahali fulani wakati fulani tuu, lakini ukweli sisi ni Roho ambayo ikokwenye moment, kila mahali na kila wakati, kwa sababu za kimaumbile, ili Roho ikamilike na ijitambue, inahitaji kutumia akili ili kupata uamuzi wa busara wa kuutumia mwili kutenda ionayo yana yanafaa kujikamilisha. Roho ndio ina miliki mwili na akili sio kinhume chake, mwili usipofaa inatoka na kuuacha ndio kinaitwa kifo. Roho hazaliwi wala haifi hata kama haonekani machoni kwetu, siku ya kufa Roho hurudi kwenye hali yake kabla kuinglia mimba. Sasa inategemea tunangalikia kifo kwa kusimamia leve wapi. Kama ni level ya Rohoni hamna kifo kama ni le el ya duniani pia tunapaswa kujiuliza jee sisi ni miili? Au miili na akili kati ya ni vitumizi vyetu? Kama nguo, viatu, kofia n.k na kama tumeweza kushuhudia madiliko yakifanyika kwenye miili yetu na kumbukumbu zetu basi Miili yetu ni vitumizi vyetu kifo ni kitendo cha kuacha mwili wenye akili usiofaa, hiyo haimaanishi wenye hiyo miili iliyokufa tumekufapia.

Kwa sababu hiyo nainisha kifo ni mauzauza.

He who thinks that Spirit kills, and he who thinks of It as killed, are both ignorant . The spifit kills not, nor is it killed. It was not born ; It will never die, no once been having been, can It ever cease to be. Unborn, Eternal, Ever-unduring, yet Most Ancient, the spirit dies not when the body is dead. - in the Holy book the Bhagavad Gita.Sent using Jamii Forums mobile app
Asante ...hayo ni mawazo yako kama wengine walivyotoa mawazo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
783
Likes
163
Points
60
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
783 163 60
Roho na Uhai ni kitu kimoja mkuu, sawa udongo kuumba chungu, tofauti mfinyanzi.
Nachojua mie roho ndio hufanya kuwepo uhai,na uhai ni kitu chenye kumuwezesha kiumbe kuishi. Sasa swali la roho hasa ni nini kwa kweli sijui hasa roho ni nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
4,877
Likes
1,641
Points
280
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
4,877 1,641 280
Ila kwa ubishi huo sizani, any tufanye utani tuu, hivi kama hunui baba yako na kuna mtu mbili zimejitokeza zinaapa kwamba zote ni baba yako si unatumia DNA, inaanzwa kupima damu yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mie nimefanya nini hadi useme ni mbishi na ulitaka niweje?
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
3,961
Likes
4,308
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
3,961 4,308 280
Ukifa unapotea tu kama mwanga wa kibatari au taa unavopoteaga kikizima.

Kwani unajua kabla ya wee kuwako ulikuwa waapi?

Vivyo hivo hata ukifa unakuwa kama kabla ya wee kuwako hapa duniani. Full stop.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maswali ya kielimu hatujibu namna hiyo. Jambo kama hulijui bora ukae kimya.
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
783
Likes
163
Points
60
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
783 163 60
Ukitaka kujua mambo lazima uji pre - empty. Nilipo anza cheza yoga nilikuwa mbishi sana, mwalimu wangu alichukua glass akajaza Cocacola then akachua lita ishirini ya maji akaniambie ni miminie yale maji yote kwenye ile glass kama nitapata rangi ya maji pure, lita 20 ilisha lakini rangi coke bado ilioonekana kwenye glass. Akaniambia ubishi wako utasabisha hutakuwa Coke wala maji. Sasa inapotaka kujua jambo jipya, jifanye hujui, sikiliza, then jipe muda wa kutafakari, then ether replace, discard, au merge.
Kwani mie nimefanya nini hadi useme ni mbishi na ulitaka niweje?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,250,085
Members 481,224
Posts 29,720,455