According to biocentrism, death is an illusion: Kwa anayeifahamu nadharia ya biocentrism anielezee kwa manufaaa ya wengine pia

Hapa hamna Elimu ulioitoa zaidi ya uwongo na kujaribu kujificha kwenye esoteric world.

Sent using Jamii Forums mobile app

You really sound envious Mkuu. Otherwise save that kwa kutupa unachojua. Give us what you know na sisi ndo tutachambua na kujua nani muongo. Usijisikie vibaya kama watu wanajua kitu ambacho ulihisi wewe pekee Ndo unakijua wakati hapo hapo umesema kila knowledge ipo ndani yetu sote.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
HII NDIO MADA:IS DEATH UN ELLUSION

Katika pita pita zangu za hapa na pale katika kujifunza mambo mapya hasa kuhusu kifo nimekutana na mtazamo huu kuwa kifo ni mauzauza tu ya akili yetu, kifo hakipo. Na watu wanaoshikilia msimamo huu wanatumia nadharia ya 'biocentrism' kuthibitisha maoni hayo. Nimesoma sana na kuangalia video nyingi kuhusu hiyo ishu lakini naona sielewi elewi bado. Kwa yeyote anayeifahamu vizuri hebu atuelezee hapa.

Natanguliza shukrani.

JIBU: Ndio

SABABU: Tuko kwenye dunia ya mauzauza kiasi cha kuzani nafsi zetu ni Milli na akili na tuna Roho, tupo mahali fulani wakati fulani tuu, lakini ukweli sisi ni Roho ambayo ikokwenye moment, kila mahali na kila wakati, kwa sababu za kimaumbile, ili Roho ikamilike na ijitambue, inahitaji kutumia akili ili kupata uamuzi wa busara wa kuutumia mwili kutenda ionayo yana yanafaa kujikamilisha. Roho ndio ina miliki mwili na akili sio kinhume chake, mwili usipofaa inatoka na kuuacha ndio kinaitwa kifo. Roho hazaliwi wala haifi hata kama haonekani machoni kwetu, siku ya kufa Roho hurudi kwenye hali yake kabla kuinglia mimba. Sasa inategemea tunangalikia kifo kwa kusimamia leve wapi. Kama ni level ya Rohoni hamna kifo kama ni le el ya duniani pia tunapaswa kujiuliza jee sisi ni miili? Au miili na akili kati ya ni vitumizi vyetu? Kama nguo, viatu, kofia n.k na kama tumeweza kushuhudia madiliko yakifanyika kwenye miili yetu na kumbukumbu zetu basi Miili yetu ni vitumizi vyetu kifo ni kitendo cha kuacha mwili wenye akili usiofaa, hiyo haimaanishi wenye hiyo miili iliyokufa tumekufapia.

Kwa sababu hiyo nainisha kifo ni mauzauza.

He who thinks that Spirit kills, and he who thinks of It as killed, are both ignorant . The spifit kills not, nor is it killed. It was not born ; It will never die, no once been having been, can It ever cease to be. Unborn, Eternal, Ever-unduring, yet Most Ancient, the spirit dies not when the body is dead. - in the Holy book the Bhagavad Gita.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu,
1. Roho huanza kumiliki mwili wakati gani? Inapotungwa mimba au mtoto anapozaliwa?
2. Watu wawili (roho mbili zinazomiliki mwili ) wamekutana kimwili kutengeneza mwili ambao roho itamiliki. Huu mwili wa mtoto ambao roho inapokea roho inatoka wapi? Kwa baba au kwa mama? Au kila mtu anatoa nusu.
3. Naomba kujua je Kuna Roho tofauti tofauti sababu tuna wanyama pia wana miili na akili. Kwa mfano simba, mbwa au ngombe. Na roho ya ndo kila kitu na inachohitaji ni mwili tu. Je kuna uwezekano roho ya binadamu ikatumia mwili wa sokwe?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
You really sound envious Mkuu. Otherwise save that kwa kutupa unachojua. Give us what you know na sisi ndo tutachambua na kujua nani muongo. Usijisikie vibaya kama watu wanajua kitu ambacho ulihisi wewe pekee Ndo unakijua wakati hapo hapo umesema kila knowledge ipo ndani yetu sote.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nilimuomba atupe kile chema chenye ukweli lakini bado sijaona alichoelezea bali anapinga tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kimoja tuu, na wala sio viwili. Ungejua hata mimi na wewe ni kitu kimoja tuu. Na sio mtazamo wangu. Ukigundua hilo utaacha ubinafsi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok nipe darsa,Roho na uhai ni kitu kimoja kwa maana ipi? Kwa maana ya kwamba hayo maneno yote yana tafsiri moja kama kwa mfano wali na ubwabwa,kwamba maneno hayo mawili yote yanakusudia kitu kimoja tu na si vinginevyo.
 
Ukitaka kujua mambo lazima uji pre - empty. Nilipo anza cheza yoga nilikuwa mbishi sana, mwalimu wangu alichukua glass akajaza Cocacola then akachua lita ishirini ya maji akaniambie ni miminie yale maji yote kwenye ile glass kama nitapata rangi ya maji pure, lita 20 ilisha lakini rangi coke bado ilioonekana kwenye glass. Akaniambia ubishi wako utasabisha hutakuwa Coke wala maji. Sasa inapotaka kujua jambo jipya, jifanye hujui, sikiliza, then jipe muda wa kutafakari, then ether replace, discard, au merge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu humu kaja kujifunza hivyo kwenye majadiliano mie naweza kujifunza kutoka kwako na wewe unaweza kujifunza kutoka kwangu.
 
Ukitaka kujua mambo lazima uji pre - empty. Nilipo anza cheza yoga nilikuwa mbishi sana, mwalimu wangu alichukua glass akajaza Cocacola then akachua lita ishirini ya maji akaniambie ni miminie yale maji yote kwenye ile glass kama nitapata rangi ya maji pure, lita 20 ilisha lakini rangi coke bado ilioonekana kwenye glass. Akaniambia ubishi wako utasabisha hutakuwa Coke wala maji. Sasa inapotaka kujua jambo jipya, jifanye hujui, sikiliza, then jipe muda wa kutafakari, then ether replace, discard, au merge.

Sent using Jamii Forums mobile app

Elimu ya mifano inahitajika pia. Sasa unaweza kumimina maji yote lita ishirini kwenye glass na kutarajia mabadiliko hayo ?

Au hiyo glass ikoje ?
 
Kwani we hujawai kuona glass ya Lita ishirini😁😁😁😁😁😁😁😁

Mkuu naomba unihakikishie kutokana na experience yako juu ya yoga; Je ulikuwa na uwezo wa kujitambua na kuongea na other spirits zilizo katika ulimwengu usioonekana kwa macho?
Je ulikuwa na uwezo wa kuliona jambo katika ulimwengu wa roho na kuliamuru lidhihirike katika ulimwengu huu wa macho?
Ni kweli uliipata ile the highest level of peace in your mind that's believed to be the peace of atenal?
Je Yoga ina faida gani katika maisha ya mwanadamu?
Nitashukuru kwa majibu yako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maelezo yako yanaonyesha ni jinsi gani uko mbali naasuala ya elimu. Hivi tangu elimu ya ki secular ikamfanya kuwa na akili ya utambuzi na ung'amuzi wa mambo kama yalivyo.

Nakukumbusha tu hili suala la vidato ni makubaliano tu waliyoyaweka binadamu.

Hapa nakukumbusha tena shahada ni makaratasi tu ambayo yanakuonyesha kama wewe umesoma ila hayaonyeshi kama wewe umefahamu ulicho kisoma au hayaonyeshi kama wewe ni mjuzi,ndio maana leo hii tuna soma athari za watu ambao ukiwaamsha(Waliokufa) leo ukiwaambia mambo ya form one hawakuelewi.

Ama kuhusu hoja zangu ni rahisi sana,na niliuliza swali kutokana na mada husika na hili swali sijajibiwa na hakuna wa kunijibu na zipo sababu za kielimu zinazofanya usiweze au msiweze kujibu swali hilo.

Hapa nauliza tena swali hili "Ukifa unaenda wapi ?"

Kaka akili iliyo salama huwa haikatai ukweli,unapoleta mada na kushindwa kujibu hoja tunsema wewe hujaelewa kile ulichokiegemea.

Nipo ....
Maandishi yako yangekuwa yanaakisi hivi kila unapoandika..! nakuapia

ungetengeneza ushawishi wa watu kutaka kujua unayoyafahamu

Tatizo lako ni huo muelekeo wako wa kombe lazima apewe Allah_ndio unaharibu huo u Zurri wako unaojificha
 
Kwani kuweka kitu au jambo mahala pake ni tatizo ?

Huwa tunasema hivi "Mnyonge mnyongeni lakini hako yake mpeni"
 
Ikijibiwa ninaomba unitag
Mkuu naomba unihakikishie kutokana na experience yako juu ya yoga; Je ulikuwa na uwezo wa kujitambua na kuongea na other spirits zilizo katika ulimwengu usioonekana kwa macho?
Je ulikuwa na uwezo wa kuliona jambo katika ulimwengu wa roho na kuliamuru lidhihirike katika ulimwengu huu wa macho?
Ni kweli uliipata ile the highest level of peace in your mind that's believed to be the peace of atenal?
Je Yoga ina faida gani katika maisha ya mwanadamu?
Nitashukuru kwa majibu yako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika pita pita zangu za hapa na pale katika kujifunza mambo mapya hasa kuhusu kifo nimekutana na mtazamo huu kuwa kifo ni mauzauza tu ya akili yetu, kifo hakipo. Na watu wanaoshikilia msimamo huu wanatumia nadharia ya 'biocentrism' kuthibitisha maoni hayo. Nimesoma sana na kuangalia video nyingi kuhusu hiyo ishu lakini naona sielewi elewi bado. Kwa yeyote anayeifahamu vizuri hebu atuelezee hapa.

Natanguliza shukrani.

zitto junior Life coded Da'Vinci Eiyer
Sanaa ya kifo - JamiiForums

Jr
 
Una #Ego moja bab kubwa halafu its full of primitive character!

Chief hizi tambo kama upo kwenye michuano ya ngonjera shule za sekondari wilaya hapa sidhani kama ni mahala pake! Why don't you stop beating around the bush ujumuike katika kutupa elimu kama unayo kuliko haya majivuno!! Its a public forum lakini unatamba kama uko chumbani kwako mbele ya kikoo kama ulivyozaliwa!! Asthaghafirullah!
Huyu jamaa sijswahi ona kaanzisha uzi, zaidi utamkuta humu anapinga wenzie alafu anajifanya anajua sana!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninarudia kusoma kitabu cha The Power of now katika page ya 124 Eckhart Tolle anaandika hivi: One of the most powerful spiritual practices is to meditate deeply on the mortality of physical forms, including your own.This is called:Die before you die.....,Nothing that was real died, only names, forms, and illusions.
The realization of this deathless dimension, your true nature, is the other side of compassion.
ukikisoma utapata majibu kaelezea vitu vingi sana.
Hatujui kingereza chenu sasa unatusaidiaje..!?
 
Back
Top Bottom