Accomodation kwa wale wa DUCE / TIA kurasini.

Accomodation kwa wale wa DUCE / TIA kurasini.

dume30

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
567
Reaction score
577
Wanafunzi wa vyuo tajwa hapo juu mnatangaziwa uwepo wa hostel mpya iliyopo mtoni kijichi.

Hostel ipo katika eneo Zuli,kuna uzio na geti,maji na umeme ni 24/7. Vyumba vina gypsum na tiles.

Mpango wa usafiri wa kwenda na kurudi chuo unafanywa.

Kodi ni Elf 55(50 kodi ,elf 5 maji+umeme)


Note: Wanatakiwa wanafunzi wa jinsia moja tu( Me au Ke)
 
Back
Top Bottom