watu wameshaipiga
Ukijaribu kuiaccess kwa naked domain ndo haipatikani
Inafunguka bila shida.
mpaka useme dabilyu dabilyu dabilu dot....
Bado sana!
Mkuu upo..........
Inafunguka bila shida.
naked domain inazingua http://tanzania.go.tz
//Rewrite to www
Options +FollowSymLinks
RewriteEngine on
RewriteCond %{HTTP_HOST} ^tanzania.go.tz[nc]
RewriteRule ^(.*)$ http://www.tanzania.go.tz/$1 [r=301,nc]
Mkuu C6 Hilo ni swala la kucheza na .htaccess file ili i-allow naked domain to be redirected to National Website of the United Republic of Tanzania
Akiweka hizi codes kwenye .htaccess file ita redirect tanzania.go.tz to National Website of the United Republic of Tanzania bila shida
Code://Rewrite to www Options +FollowSymLinks RewriteEngine on RewriteCond %{HTTP_HOST} ^tanzania.go.tz[nc] RewriteRule ^(.*)$ http://www.tanzania.go.tz/$1 [r=301,nc]
admin bwegebwege tu kalala anakula tu posho ya serikali afanyi kazi yoyote
Halafu Web Server inayotumia eti ni IIS...duh!!!
anafikiri sisi tunaotumia linux hatujui sana ila yeye ndo gwiji