Access Denied

mwanamke kaanza kuchoshwa huyo na tabia zako.............karibu utapewa kifungo cha moja kwa moja! anowadanganya kuwa mkifanya mambo yenu wandani wenu hawajui nani?

tabia gani bibie, tangu nimjue sijawahi kuacha kumuaga, na hata mara moja hajawahi kuhisi namega nje achilia mbali rafiki zake. gaijini aliyekuambia wanawake wote wapo sawa ninani? kama wewe unajua wa kwangu hajui na sitokuja kuruhusu ajue.
 
dude,
u are married ,aren't you?
why dn't you guys sit down and talk?

Married nope! i think she is in passive resistance, whenever we talk she claims that she has already forget the incident and urge me to drop the subject.
 
Married nope! i think she is in passive resistance, whenever we talk she claims that she has already forget the incident and urge me to drop the subject.

give her time!YOU KNOW WHAT DUDE,TIME HEALS!get her closer,take her to dinner,take her anywhr special
 
give her time!YOU KNOW WHAT DUDE,TIME HEALS!get her closer,take her to dinner,take her anywhr special

i know iam not in a life ban dude but it's killing me to wait until shez happy that i hav suffered enough...any strategy to lift this ban will be appreciated
 
Kamanda mbembeleze tu, mwanamke anahitaji kubembelezwa, huko kununa anajaribu kukupima ni kiasi gani unamjali au unamhitaji, mwanaume lazima uwe na sense of humor bana, ukikuta mkeo kanuna, mpige BUSU ktk lipsi zake, au shavuni, mpe HUG ya nguvu, najua atajidai kama vile hataki lkn moyoni atajisikia vizuri sana, usiishie hapo, Km kuna juice au maji kwenye friji au hata kama anakunywa mletee kinywaji kwenye glass huku uki apologise na kumuuliza inakuwaje darling mbona umenuna hivi?, km mpo room, mpe mpe vjijimaneno vya love, najua ataendelea kukataa lkn moyoni kwake atakuwana faraja ya ajabu. ikifika mida ya kuoga mwekee maji, au mwogeshe mwenyewe, mida ya kula mpakulie chakula, au mtoe outing sehemu ile anayoipenda au mpeleke ka shopping kadogo tuu, itafika mida utaona anacheka mwenyewe, utasikia lkn uliniuzi wewe!!!!!, hapo ujue yameisha na furaha itajaa moyoni mwake, asikudanganye mtu kumega nje sio JIBU mkuu. Kuna jamaa kama wewe alimega mpaka rafiki za wife wake, wife akashtukia hakumwambia mchizi alichofanya yeye akaamua KUZAA kabsaa na rafiki wa mmewe wa karibu na huyo jamaa hakujua mpaka walipotengana. After all wewe ndo mkosaji, na wala usione kama u wanaume wako unadhalilika, mbona mkiwa huko nje mnakomega mnanyenyekea sana? hata ukiambiwa nnashida ya kodi ya nyumba, ada ya shule, na vinginevyo vingi mnajilipua tu? siku mkeo akikubana na nyumba ndogo inakuhitaji na hujaenda, siku ukienda mbona mnaomba sana misamaha hata kwa ahadi na magoti, PLSE BE A MAN BANA.
 
i know iam not in a life ban dude but it's killing me to wait until shez happy that i hav suffered enough...any strategy to lift this ban will be appreciated

i can see you are MADLY IN LOVE DUDE!i lyk that...!PAIN IS LOVE.ndo maana huna aidii mbili.i suggest you find time and talk about it.take her out for a walk,dinner or anything,then you guys need to talk
 
bado usi rule out kwa asilimia mia moja possibilty kwamba anafanya hivyo kwa sababu amejua au amehisi una enda nje....
 
Mzee jaribu kupropose tiGo inaweza jibu....!

Mpwa unafahamu fika mpwao nina kinyaa cha ajabu sasa unanishauri ni chovye sehemu ya mwili wangu kwenye mavi. Mwenzio kila siku huwa natafuta jinsi ya kuhakikisha nakunya bila ****** kugusa mavi ilimradi nisiguswe na mavi sembuse kwenda kuloweka huko kiwandani kabisa?
 
Walah, ningekuwa ni mimi ningemtafuata rafiki yako kipenzi na kufanya nae the same thing ili ufeel na wewe. don be too sure kwamba hatakuja kujua, i am sure atajua tu one day, si unajua wanawake tulivyo ipos siku shoga mmoja atamwambia mwenie n within no time bibie atakuwa na info zote. Yani kwa ufupi sio ustaarabu kabisaaaa,sana sana unajichoresha tu yani kila rafiki wa mkeo anakujua kuanzia dudu yako ilivyo unavyolia ukiwa unapewa mambo, yani you are nude mbele yao na wanakuienjoy na kumdharau mkeo. if you love her you wouldnt be exposing her to such situation, atasema nini mbele ya wenzie na wakati wanamjua mumwewe kila kona? i wish angekunyima for the rest of her life seriously!
 
Mpwa unafahamu fika mpwao nina kinyaa cha ajabu sasa unanishauri ni chovye sehemu ya mwili wangu kwenye mavi. Mwenzio kila siku huwa natafuta jinsi ya kuhakikisha nakunya bila ****** kugusa mavi ilimradi nisiguswe na mavi sembuse kwenda kuloweka huko kiwandani kabisa?
na ungekuwa una kinyaa kweli usingekuwa unachovyachovya kila tundu ulionalo, mengine yana miba mikali.
 
we nguli wewe, unajua tangu ubadili avatar huwa nakusahau, inanitisha hiyo bana badili basi tafadhali.


For u I will, na isipokupendeza just say nitabadili mpaka wewe urizike, una msimamo mzuri sana.....nimeupenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom