Mkuu hii lugha ni hatari sana japo siyo kwako bali kwa mwenye hiyo benki.Una uhuru wa kuchagua mabenki yanayotoa mikopo ni mengi sio lazima uende kwao
nilikopa 5m rejesho likawa 565,000 kwa miezi 12
hao jamaa wanakupa mkopo ndani ya siku tatu na masharti ni.rahisi sana ila mwanangu kasheshe uje uchelewe kurejesha hata masaa tu utakoma!!
amekiri amefeli kwn kilimo? lini hiyo? manake cjaiskia ningecheka sana! lakn kilimo c ndicho kilichompa uprof? kama ni kweli aibu kwa wachina waliomtunuku uprof
riba hapo ni kama 36% duu si mchezo
Mabenki yote Mkuu yanaumiza ile mbaya kupitia riba ingawa yanatofautiana! Kwa ufupi Mkuu karibu huku CRDB "the bank that listens" u-enjoy maisha ya kukopa!
Huku unakopa 5m unarejesha 5.9m kwa maana ya 18% interest! Kurejesha wala hupigiwi simu mpaka zipite siku kadhaa bila kuweka hela kwenye akaunti!!
kinachotokea Access ni hv ukihitaji mkopo kwao masharti ni nafuu mno na unaupata fasta,sasa watu wengi huwa hawaangalii kabisa kuhusu riba,ukija kushtuka..tayari....washatoboa spika...inakoroma tu
amekiri amefeli kwn kilimo? lini hiyo? manake cjaiskia ningecheka sana! lakn kilimo c ndicho kilichompa uprof? kama ni kweli aibu kwa wachina waliomtunuku uprof