badoo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 512
- 249
Katika kufuatilia mabenki mengi yanayotoa mikopo kwa wajasiriamali wadogo ACCESS BANK ni benki moja hatari Sana kwa kuwa na kiwango kikubwa mno cha RIBA.
Na pia ni wasumbufu Sana ikikaribia siku tano kabla ya rejesho,utapigiwa simu na kutumiwa sms kukumbushwa deni utadhani umewaambia hulipi,kwa mfano ukikopa sh milioni mbili na nusu 2500,000/= .
Utalazimika kulipa riba ya milioni moja na elfu mbili 1,002,000/= ni riba kubwa Sana ukitafautisha na mabenki mengine,mamlaka husika mnafuatilia uendeshaji wa mabenki nchini au ndio kuwapa kibali tu na kuwaacha wafanye watakavyo?