Academy awards (Oscar) 2017: Washindi hawa hapa

Academy awards (Oscar) 2017: Washindi hawa hapa

hizo movie zote...zimeshaingia kitaani mkuu..???...kwa huku kwetu dunia ya 3..??
Kitambo sana mbona, nazungumzia kwa kudownload ila kwa DVD cjafaham bado, lakini lazima zitakuwepo sababu movie zimetoka mwaka jana
 
Nawe ungemwaga machozi? lakini si wanawake tu hata wanaume wameonyesha reaction kama za huyu kulia au kuhehuka na wengine kushindwa hata kuongea kabisa.




Daaaaaah this is soooo me!
emoji24.png
 
Wazungu wanadharau sana yani hii filamu ya moonlight inayo mzalilisha mwanaume wa kiafrika ndio imepewa vituzo.
Gay ass themed movie.
 
Yani movie ikiwa na Gabrielle union lazima niipende au Taraji P bila kumsahau mama cha mdomo Tasha Smith.Sasa huwa inanoga zaidi kama Idris Elba akiwemo yani mapenzi yanaongezeka kwenye hiyo movie
hivi ile movie ni mwanasheria na Idris ni dereva wake inaitwaje?
 
Back
Top Bottom