J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 37,852 Reaction score 71,529 Sep 2, 2026 #101 zitto junior said: CCM hawana huruma mkuu. Nakumbuka wale mawakala wa UKAWA waliokamatwa wakijumlisha matokeo ya urais nchi nzima (Tallying center) walifungiwa kuajiriwa serikalini au kusoma vyuo vya Tanzania MILELE!! yaani walikua blacklisted indefinitely Click to expand... ..hata James Mbatia wa Nccr alifukuzwa Udsm akiwa mwaka wa 3 au wa 4 faculty of Engineering.
zitto junior said: CCM hawana huruma mkuu. Nakumbuka wale mawakala wa UKAWA waliokamatwa wakijumlisha matokeo ya urais nchi nzima (Tallying center) walifungiwa kuajiriwa serikalini au kusoma vyuo vya Tanzania MILELE!! yaani walikua blacklisted indefinitely Click to expand... ..hata James Mbatia wa Nccr alifukuzwa Udsm akiwa mwaka wa 3 au wa 4 faculty of Engineering.
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 87,806 Reaction score 152,938 Sep 2, 2026 #102 Dr Adam Francis said: Leo tujadili ugwiji wa miamba hii miwili; Asha Rose Migiro first class ya law UDSM na Mnyika TO Tanzania. Nani ametisha Click to expand... Ametisha nini? This is just status anxiety. Migiro kaja New York City hapa UN kashindwa hata kujimix na diplomats, kashindwa kujifunza kwa wenzake kama kina Michelle Bachelet. Alikuwa anafikiri UN politics ni kama siasa za umangimeza za CCM. Akashindwa vibaya sana. Mpaka leo ukiuliza Migiro kafanya nini UN hakuna mtu anayejua. Mtu msomi ni yule anayejua kuyasoma mazingira na kwenda nayo. Migiro hilo tu lilimshinda.
Dr Adam Francis said: Leo tujadili ugwiji wa miamba hii miwili; Asha Rose Migiro first class ya law UDSM na Mnyika TO Tanzania. Nani ametisha Click to expand... Ametisha nini? This is just status anxiety. Migiro kaja New York City hapa UN kashindwa hata kujimix na diplomats, kashindwa kujifunza kwa wenzake kama kina Michelle Bachelet. Alikuwa anafikiri UN politics ni kama siasa za umangimeza za CCM. Akashindwa vibaya sana. Mpaka leo ukiuliza Migiro kafanya nini UN hakuna mtu anayejua. Mtu msomi ni yule anayejua kuyasoma mazingira na kwenda nayo. Migiro hilo tu lilimshinda.
K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,625 Reaction score 15,094 Sep 2, 2026 #103 USSR said: Mnyika huyu aliyefeli first year aka sepa kukimbilia kwa mbowe ndio unamlinganisha na gwiji wa UNO mama migoro kweli wewe zuzu USSR Click to expand... Mwongo alisoma miaka mitatu
USSR said: Mnyika huyu aliyefeli first year aka sepa kukimbilia kwa mbowe ndio unamlinganisha na gwiji wa UNO mama migoro kweli wewe zuzu USSR Click to expand... Mwongo alisoma miaka mitatu
Mnachihanguuu JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 6,331 Reaction score 9,629 Sep 2, 2026 #104 Hassan Mambosasa said: Hebu kuwa na nidhamu kwanza, hivi unamjua huyo Mama Migiro au unaleta siasa zako za majitaka tu hapa. Huyk CV yake imeshiba hana elimu ya kubabaisha Click to expand... wewe na migiro nani mwenye akili timamu?
Hassan Mambosasa said: Hebu kuwa na nidhamu kwanza, hivi unamjua huyo Mama Migiro au unaleta siasa zako za majitaka tu hapa. Huyk CV yake imeshiba hana elimu ya kubabaisha Click to expand... wewe na migiro nani mwenye akili timamu?
Mnachihanguuu JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 6,331 Reaction score 9,629 Sep 2, 2026 #105 MamaSamia2025 said: First class ya UDSM usifananishe na hiyo takataka ya CHADEMA. Click to expand... Ni upi mchango wake kwa taifa Zaidi ya uchawa tu kwa aliefeli form four?
MamaSamia2025 said: First class ya UDSM usifananishe na hiyo takataka ya CHADEMA. Click to expand... Ni upi mchango wake kwa taifa Zaidi ya uchawa tu kwa aliefeli form four?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 176,522 Reaction score 194,440 Sep 6, 2026 #106 Wote wanajitahidi... Cc: Mahondaw