ACACIA yasema italipa mirabaha iliyowekwa katika sheria mpya ya madini

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,396
Kampuni inayomiliki Makampuni ya Uchimbaji wa Madini ya ACACIA yasema italipa mirabaha iliyowekwa katika sheria mpya za madini.

Sheria mpya ya madini inawataka wawekezaji katka sekta hiyo kulipa asilimia 6 ya mirabaha ikiwa ni ongezeko la asilimia 2 zilizokuwepo awali pamoja na asilimia 1 ni kwa ajili ya usafirishaji kwenda nje.

=====
Acacia notes the publication in Tanzania’s official Government Gazette of new legislation governing the natural resources sector.

Of the legislation passed, the Written Laws Miscellaneous Amendment Act, being an amendment bill to the 2010 Mining Act, is now in force and is being applied by Tanzanian authorities. Acacia continues to monitor the impact of the new legislation in light of its Mineral Development Agreements with the Government of Tanzania.

However, to minimise further disruptions to our operations we will, in the interim, satisfy the requirements imposed as regards the increased royalty rate applicable to metallic minerals such as gold, copper and silver of 6% (increased from 4%) in addition to the recently imposed 1% clearing fee on exports.

Screenshot from 2017-07-14 11-22-47.png
 
Mkapa alisaini mikataba iliyoweka mrahaba wa serikali 3%.

Kikwete akaahidi kulinda maslahi ya Taiga kwenye Madini,akaunda tune,akasign mrahaba wa 4% toka 3%.

Magu akang'aka na kutuhubiria Noah na uzalendo,kasaign 6% toka 4%!!!!!

Tuandamane kwa hongera na kumtaka atawale milele!!!H
 
Mmmmhhh kumbe hakuna shares za serikali? So ni increase ya royalty from 4% to 6% basi?

Mungu weeeeeee... Am crying for Tz, mbona hapo hakuna kitu, yaani sheria mpya hakuna shares? Kweli?

Uuuuhhh.. Naumia naumia, so is just 2% increment ya royalty basi? Eeehh serikali haipati shares? Mungu wangu
 
Kuna watanzania watachukia kwanini tulipwe hizo pesa na walitegemea tushitakiwe, Mungu ni mwema, tunamuomba na amesikia.ni wakati wa Tanzania kuneemeka sasa na natural resources tulizonazo

kuweka records sawa iyo kampuni haitambuliki kwa madai ya JPM na team yake pili unajua hatuna share wanachimba sasa ivi sheria mpya ndio tunapata 6% kutoka 4%? kwa lugha nyingine madini sio yetu kwa 94% upo hapo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom