Humo humo mbona Diamond alipack kabla haja hamia Sinza.
Waonaje ukitafuta wa kukusomea na kukutafsiria ili uelewe.Kuna watanzania watachukia kwanini tulipwe hizo pesa na walitegemea tushitakiwe, Mungu ni mwema, tunamuomba na amesikia.ni wakati wa Tanzania kuneemeka sasa na natural resources tulizonazo
Kwani mbona kilichoandikwa kinaeleweka kwa nn ww unakuwa na kichwa kizito kuelewa?Kuna watanzania watachukia kwanini tulipwe hizo pesa na walitegemea tushitakiwe, Mungu ni mwema, tunamuomba na amesikia.ni wakati wa Tanzania kuneemeka sasa na natural resources tulizonazo
Kuna watanzania watachukia kwanini tulipwe hizo pesa na walitegemea tushitakiwe, Mungu ni mwema, tunamuomba na amesikia.ni wakati wa Tanzania kuneemeka sasa na natural resources tulizonazo