ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

Hao Acacia wako walivyotudharau hata kupata usajili wa BRELA hawakuangaika. Walishatuona mazuzu na hata hapa JF bado watu wanaendelea kuwatetea! Hamuoni aibu?

Hakuna anyewatetea ACACIA,wala makampuni mengine,tunachosema tufuate sheria ili tuweze kuwashinda,kwa kukurupuka hatufiki hata posta.

Tusifanye kazi kama punguani tufanye kazi kwa umakini.Waliotuangusha wala siyo Lissu,kama Lissu angesikilizwa miaka 17 iliyopita leo kusingekuwa na haya madubwana.

Kwangu mimi Lissu is my hero
 
You know nothing/little about International trade/investments.
The credible committee before the ACCEPTABLE Tribunal isn't the Presidential one..rather the INDEPENDENT.
Mchawi wetu ni CCM,
Finito.
 
NILITEGEMEA 100 % YA LAWAMA RAIS AZIELEKEZE KWA MKAPA, KIKWETE ,WABUNGE WA CCM AKIWAPO YEYE NA WATENDAJI WENGINE WHO WERE KEY S TO THE DECISIONS OF THIS ROBERRY BACK THEN. cha ajabu rawama za hasira kazimalizia kwa TL. Shida ya hii inchi ni mi CCM
 
And that fear has made us to what we are today!
Wanatuibia, mazuzu yanaogopa! Ila sidhani kama engeibiwa nyumbani kwake kama angeogopa hivi, hasa mkewe?!
Kweli kiongozi ndio maana Rais anasema nani ametuloga ? tatizo kwenye mambo ya maslai ya taifa tunaweka itkadi au siasa kwani tunatakiwa tujadili pasipo kuangalia upande wowote kwani kama maji yamekwisha kualibika inatakiwa tutatue tatizo pasipo kuangalia nani amefanya ilo kosa kwanza ,baadae tutakuja kwa aliyefanya kosa kama kumfunga tuufunge.
 
Yaani aca imetushtua na kutujulisha wengi humu na anii wanafiki was jf

Kunamijitu ilikuwa inaliaaa nakuibiwa madini sikuzote leohii wamekaa kimya wanawatetea wahuni wa madini shame on them
 
Kama uwekezaji ni 4bil inakuwaje dhahabu tunayosema wametuibia ni Tri 108
 
Hivi wewe jamaa ni mtanzania? Labda huko mbali, je wewe ni mtu uliyeandika au mdudu au simu ni mbovu inatuma ujumbe bila wewe kujua?!!!!!
Nani aliwasainisha mikataba?
Chama gani kilipitisha mikataba kwa kusema ndyoooo?
Kama walikuwa hawalipi kodi ni mbona mbowe asipo lipa kodi wiki tu mshajua je utashindwa kujua kama ACACIA kama hawajalip 24hrs?
Je huyu hakuwepogi kipind hicho?
Je wapinzani hawakushauri kuhusu hili toka muda?

Mkuu huwezi kununua akili yangu kwa kiki na sifa...mnanunuliwa ninyi na viini macho sio mimi najielewa.
 
Acacia Kabla ya kufanya shughuli kama kampuni alitakiwa afuate taratibu za kisheria kwa kujisajiri.

Pia baadhi ya watumishi wa serikali wanamakosa pia
 
Kwendeni huko mijizi mikubwa. Mbona hata brela haiitambui? wezi haooooooo pigaaaaaaa!!
 
Kama report ya TRA inaonyesha wamesafirisha container 44000 kwa miaka 19,

halafu sehemu ingine kuna report ya container 61000,
basi itakuwa imekula kwao,waanze kupack tu mabag maana jamaa huwaga harudi nyuma.

Kitendo tu cha mwanyika kuwa alikuwa mwanasheria mkuu,halafu wakampa ajira kubwa inaonyesha kuna mlungula ulitembea hapo,

wakiponyoka hapa ni wanaume kwelikweli
 
A slowly movement of lion does'nt mean a tiredness or weakness rather it's a calculated steps to attack a prey.

Mtasebeneka kwa muda mfupi tu...kuliwa vichwa kwa kukurupuka kupo palepale.
Ndo nini sasa? Ina maana unawatetea waarifu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…