engine rock
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,266
- 1,112
Ccm wametupatia shida nyingi sana.
Wanafyonza alovera .masikini sijui mh.Yona anahali gani. bora ya kigoda kisha sepa.Hao share holders walikuwa wanafyonza asali kwa muda sasa naona ladha imeanza kubadilika bomba limeanza kutoa shubiri.hivi hata barrick gold tanzania walikuwa hawajasajiliwa?!!!
Ufipa ndo wali saini mikataba?Lete propaganda za ufipa kama mbadala.
Nashangaa hii mikataba walikuwa wanasaini wakiwa wamelewa au ilikuwaje, nadhani walikuwa wanasaini wakiwa wamebebwa na warembo sio bure
Filisi yona filisi, kala maji, wachunguzwe nje ya nchi walikotoroshea feza za watanzania.Wanafyonza alovera .masikini sijui mh.Yona anahali gani. bora ya kigoda kisha sepa.
Naskia hata kutembea huweziwewe propaganda za mabwana wako Acacia
Na ujiulize kuna wanaowatetea zaidi ya hao walioingia nao hiyo mikataba ya kipuuzi? Mbona mnajitoa ufahamu.Pumbavu dhao halafu majitu yanawatetea
Kweli tuna akili ndogo. Tundu awaombe radhi watanzania kwa kosa lipi? Hivi hivo vichwa mnavotumia kuwaza ni vya kwenu au mmazima? Aliyesaini mkataba na kampuni ambayo ni illegaly hajaomba radhi halfu unataka Tundulisu ndo ashitakiwe? Kwa akili hizi za kibongo maendeleo kwetu utabaki msamiati na nakubaliana na manrno ya wazungu kwamba We are poor, because we are poor!!!Inakuaje Tundu Lissu atetee client ambaye ni illegally?
Kwa muktada huu Lissu awaomba radhi Watanzania kwa kutetea kampuni ambayo aitambuliki kisheria.
Sikuwahi kupigwa ban tangu nijiunge JF,Hizo ni propaganda za lumumba
Kweli tuna akili ndogo. Tundu awaombe radhi watanzania kwa kosa lipi? Hivi hivo vichwa mnavotumia kuwaza ni vya kwenu au mmazima? Aliyesaini mkataba na kampuni ambayo ni illegaly hajaomba radhi halfu unataka Tundulisu ndo ashitakiwe? Kwa akili hizi za kibongo maendeleo kwetu utabaki msamiati na nakubaliana na manrno ya wazungu kwamba We are poor, because we are poor!!!
Hata kama hawakusaini walete tu hizo propaganda zao. Hakuna shida.Ufipa ndo wali saini mikataba?