ACACIA mining shares suffer on reports of Tanzania investigation

Hao share holders walikuwa wanafyonza asali kwa muda sasa naona ladha imeanza kubadilika bomba limeanza kutoa shubiri.hivi hata barrick gold tanzania walikuwa hawajasajiliwa?!!!
Wanafyonza alovera .masikini sijui mh.Yona anahali gani. bora ya kigoda kisha sepa.
 
Nashangaa hii mikataba walikuwa wanasaini wakiwa wamelewa au ilikuwaje, nadhani walikuwa wanasaini wakiwa wamebebwa na warembo sio bure

Walikua wanajua kabisa walichokua wakifanya, na waliuza nchi ili wao wanufaike, na wakati huo huo hawa wazungu walikua wakichekanao ili wapate wanachotaka na wakiwa pekeyao hawa wazungu wakitutukana ujinga wa sisi watu weusi tunavyo uza nchi zetu.
 
Inakuaje Tundu Lissu atetee client ambaye ni illegally?
Kwa muktada huu Lissu awaomba radhi Watanzania kwa kutetea kampuni ambayo aitambuliki kisheria.
 
5ab93c8632882f2e15a5e67e80a8971f.jpg

Kati ya saa 4 hadi saa sita.
 
Inakuaje Tundu Lissu atetee client ambaye ni illegally?
Kwa muktada huu Lissu awaomba radhi Watanzania kwa kutetea kampuni ambayo aitambuliki kisheria.
Kweli tuna akili ndogo. Tundu awaombe radhi watanzania kwa kosa lipi? Hivi hivo vichwa mnavotumia kuwaza ni vya kwenu au mmazima? Aliyesaini mkataba na kampuni ambayo ni illegaly hajaomba radhi halfu unataka Tundulisu ndo ashitakiwe? Kwa akili hizi za kibongo maendeleo kwetu utabaki msamiati na nakubaliana na manrno ya wazungu kwamba We are poor, because we are poor!!!
 
Ata zikiisha walipe chetu , tunao watambua cc ni barrick km waliletana iyo watajaza mpunga kwz wakishindwa wasepe
 
Kweli tuna akili ndogo. Tundu awaombe radhi watanzania kwa kosa lipi? Hivi hivo vichwa mnavotumia kuwaza ni vya kwenu au mmazima? Aliyesaini mkataba na kampuni ambayo ni illegaly hajaomba radhi halfu unataka Tundulisu ndo ashitakiwe? Kwa akili hizi za kibongo maendeleo kwetu utabaki msamiati na nakubaliana na manrno ya wazungu kwamba We are poor, because we are poor!!!

Hizi akili ndogo ndio mzuri za kuhoji vitu vikubwa.
Inakuaje MTU utetee kampuni isiyosagiliwa eti kwa kuwa tu waliosaini mikataba walifanya makosa?

Wote waliosaini na wanaotetea ni lazima wawajibishwe kwa mujibu wa sheria.

Kwanini Tundu Lissu hakujilizisha kama client wake yuko kihalali kisheria?

Au kwa kuwa hapo zamani aliwai kuwa mwanasheria wa client katika mazingira? na Je kama alifahamu ya kuwa client wake hajasajiliwa kwanini aliendelea kunfanzia kazi zake,vibaya zaidi kwa kuitisha mamlaka kwamba itashitakiwa?

Sasa ninyi wenye akili kubwa endeleeni kuchezea watanzania wenye akili ndogo.

Taifa hili limepitia kipindi kigumu sana na waliochangia kufika hapa ni ninyi mnaojifanza kuwa na akili kubwa.

Akili kubwa bila hofu ya Mungu ni uwendawazimu.
 
Back
Top Bottom