Acacia Agrees to Barrick's Request to Extension of PUSU Deadline

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,036
9,951
18 Jun 2019
On 21 May 2019, Acacia Mining plc (“Acacia” or the “Company”) announced that it had received an indicative proposal from Barrick Gold Corporation (“Barrick”) regarding a possible offer (the “Proposal”) for the entire issued and to be issued share capital of the Company not already owned or controlled by Barrick (the “Announcement”).
The Board of Acacia (the “Board”) believes that, subject to the price offered being fair and commanding the necessary support from shareholders, Barrick acquiring the remaining shares in Acacia it does not currently own would be an attractive solution for key stakeholders.
The Announcement stated that any firm intention to make an offer in accordance with Rule 2.7 of the Code would be subject to a deadline of 5.00pm on 18 June 2019 (the "PUSU Deadline").
Barrick has requested that the Company seek an extension to the PUSU Deadline in order to facilitate further engagement with Acacia and its minority shareholders.
In order to provide further time to determine a proposal that might receive sufficient shareholder support, the Board of Acacia has requested that the Panel on Takeovers and Mergers (the "Panel") extend the PUSU Deadline. In light of this request, an extension has been granted by the Panel and in accordance with Rule 2.6(a) of the Code, Barrick is required, by not later than 5.00pm on 9 July 2019, either to announce a firm intention to make an offer in accordance with Rule 2.7 of the Code or to announce that they do not intend to make an offer, in which case the announcement will be treated as a statement to which Rule 2.8 of the Code applies. This deadline may be extended with the consent of the Takeover Panel in accordance with Rule 2.6(c) of the Code.
NOTE; twendeni nao chugachuga kitaeleweka tu,
 
Kimsingi Acacia pumzi imekata. Wakifanyacho sasa ni delaying tactics au aibu ya kukubali kushindwa na madai ya GoT.
 
Wazungu ni washenzi sana. Subiri tuone. Wakicheza wachina wataigawana Africa afu wao wabaki madalali.
 
Wakikataa kununuliwa, kuna sheria inatumika kulazimisha kifo chao. Shingo ishaelekea kibra hiyo
 
Wale waombea mabaya, wazee wa MIGA, prophets of doom wataelewa tu na matusi yataisha.
 
Acacia wanacheza sarakasi kwenye miti, sisi tunawaangalia tu, atakayeanguka tunamla
Hawa ni "Mpwa" na "Mjomba".

Ni vema kuwa na tahadhari kwa yanayoendelea.

Kwa yeyote mwenye kusoma kwa makini taarifa hiyo hawezi kamwe kusema 'acacia' roho inakata', 'unless' kama hujui ulichokisoma.

Sote tunataka matokeo mazuri katika hili, lakini tusijisahau kiasi hicho. Sarakasi zinaweza kuwa bado zinaendelea.
 
Hahaha wametoka nje na wameingia ndani mwako sebuleni wanaanza kupigana halafu unashangilia, watavunja vunja vitu vyako halafu utapata hasara wewe.
 
Hawa ni "Mpwa" na "Mjomba".

Ni vema kuwa na tahadhari kwa yanayoendelea.

Kwa yeyote mwenye kusoma kwa makini taarifa hiyo hawezi kamwe kusema 'acacia' roho inakata', 'unless' kama hujui ulichokisoma.

Sote tunataka matokeo mazuri katika hili, lakini tusijisahau kiasi hicho. Sarakasi zinaweza kuwa bado zinaendelea.
Wengi wanaandika kishabiki. Na hawaelewi hata kilichoandikwa wala implication yake.

Aliyeomba kuongezewa muda ni Barrick na siyo Acacia. Halafu pumzi ikate ya Acacia? Very poor analysis!

Watu wasichojua kwenye muundo wa Acacia, major shareholder hana maamuzi ya mwisho kwa sababu kuundwa kwa Acacia ilikuwa ni exit strategy ya Barrick, hivyo aliyekuwa anabaki ambaye ni Acacia, alipewa mamlaka makubwa ya maamuzi kuliko aliyekuwa anataka kuondoka Tanzania, ambaye alikuwa ni Barrick.

Kwa sasa anayedictate terms ni Acacia na siyo Barrick. Na Acacia ameeleza wazi kuwa Barrick asipofikia kiwango wanachotaka, wao wataendelea na Abitration (MAHAKAMNI).
 
Uko sahihi mkuu.na acacia kakataa kuuza hisa zake.usishangae akabadirisha jina tu na akaendelea
 
Wakikataa kununuliwa, kuna sheria inatumika kulazimisha kifo chao. Shingo ishaelekea kibra hiyo
Wewe Ndahani naona unakomalia Accacia kushindwa, unafahamu ' theory of takeovers and mergers'. Hizi kampuni ni kampuni ambazo zinafuata haki na taratibu za biashara nyie wapokonya haki mnataka wafanye mnavyotaka. Mtashindwa. Unategemea Barrick watakuwa tofauti kweli na Accacia! Unaumwa kichwani, ebu weka hapa kifungu cha sheria ambacho unasema Accacia watalazimishwa kukubali.
 
Haaaahaaaa. Acacia is gone. And bygones are bygones.
That is what other people call hostile take over. It does not need a genius to know the ultimate end of Acacia, given the shareholding structure remain as it is. They stand to loose. Wakubali yaishe
 
Wengi wanaandika kishabiki. Na hawaelewi hata kilichoandikwa wala implication yake.

Aliyeomba kuongezewa muda ni Barrick na siyo Acacia. Halafu pumzi ikate ya Acacia? Very poor analysis!

Watu wasichojua kwenye muundo wa Acacia, major shareholder hana maamuzi ya mwisho kwa sababu kuundwa kwa Acacia ilikuwa ni exit strategy ya Barrick, hivyo aliyekuwa anabaki ambaye ni Acacia, alipewa mamlaka makubwa ya maamuzi kuliko aliyekuwa anataka kuondoka Tanzania, ambaye alikuwa ni Barrick.

Kwa sasa anayedictate terms ni Acacia na siyo Barrick. Na Acacia ameeleza wazi kuwa Barrick asipofikia kiwango wanachotaka, wao wataendelea na Abitration (MAHAKAMNI).
You are good in this field! Ulishawahi kuwa mine boy? Barrick waliendesha migodi ya dhahabu nchini Tanzania pekee katika bara nzima la Africa. Katikati awamu zote ya mkapa na awamu ya kwanza ya Jk barrick walikula dhahabu ya Tanzania na kusaza. Good enough wale ni good risk analysts kwa hiyo mwishoni mwa awamu ya kwanza ya JK Barrick ikajigeuza na kuwa african barrick gold (ABG) kumiliki migodi ya bulyanhulu, north Mara, tulawaka na buzwagi. Wakati wanafanya mageuzi haya familia ya makamba ikapewa tenda ya kusuply mavazi ya kinga ktk migodi hiyo yote dhidi ya ajali na chemikali. Kwanini familia ya makamba? Kwa sababu mzee makamba bado alikuwa ni katibu mkuu wa ccm taifa kwa hiyo alikuwa na turufu kubwa serikalini. Wakati huohuo mama Anna mkapa aliendelea kuwa supplier mkubwa wa vitafunwa, lunch, juisi wakati wa lunch kwa wafanyakazi wote na bar kwa camp residents katika migodi hiyo yote toka enzi za mkapa hadi Jk kupitia kampuni yake ya AKO cstering ilikuyokuwa inasimamiwa na mbunge mmoja wa ccm pale kibaha. Imagine!

Wakati huo huo ABG ikajitahidi kumpromote Deo Mwanyika kuwa the highest Africa officer ABG yote kama internal mastermind. Ridhiwani kikwete akaingizwa katika jopo last wanasheria wa ABG ingawa yeye wala hakushughulishi na mambo ya ABG. Sababu kubwa ni kwa sababu babake bado alikuwa Rais wa nchi. Na bwana mmoja wa kimeru ninayemkumbuka kwa jina moja la Nanyaro alipandishwa kuwa first black finace manager wa buly. Haya yalifanywa na barrick kuonesha kuwa kampuni hiyo haina ubaguzi kwamba hata locals can take higher posts kumbe uwongo, waliona wacha huu mfupa mkavu tuwape na fisi wanoe meno yao. Mambo yalianza kuparaganyika Magu alipoingia, vingenevyo watu walikuwa wamejipanga sana. Ahsante Magu. Personaly I'm confident in you.Huu mchecho ulikuwa unakera sana.

Wakati JK anakaribia kuoka, ABG; mtoto wa Barrick akafanya risk analysis akaufunga mgodi was tulawaka kwa kisingizio cha kupungua kwa kiwango cha 'economic gold reserve' na kubaki na bulyanhulu, buzwagi na north mara. Dakika za mwishomwisho cha Kikwete, ABG akajigeuza na kuwa accacia bila hata kutoa sababu za msingi kwa wafanyakazi. Kumbuka wakati wa kubadilisha jina hilo ABG walishirikisha wafanyakazi washauri the best name, wafanyakazi wengi tulijimwaga kupendekeza jina jipya la kampuni baada ya ABG nikiwemo mimi. Kulikuwa na zawadi nono kwa mfanyakazi ambaye jina lake litapita. Mwishowe hakuna mfanyakazi aliyeshinda na ABG wakaja na jina lao; ACACIA. Kwa hiyo napenda kumwambia Rais wa Jamhuri yetu kuwa Barrick ndo ABG na ndo Acacia wa sasa. Nimefurahi kuwa JPM ameendelea na legal stand kwamba barrick aliendelea kujibadilisha nje ya utaratibu wa kisheria hivyo serikali ikaamua kutoitambua exsisting residue monster 'accacia'.
Raia tunajua mengi kuhusiana na kampuni hii ya Barrick.....Rais tuulize sisi tuliowahi kuishi Kakola/bugarama/ilogi hata Tanzania'scamp residents na kufanya kazi na mabeberu haya. We can tell a lot. Ni kweli hii imechezewa sana kama JPM anavosemaga.

Cc Pascal Mayalla
 
Uko sahihi mkuu.na acacia kakataa kuuza hisa zake.usishangae akabadirisha jina tu na akaendelea
Kwa nini tunapenda ku predict matokeo wakati taarifa ya Acacia ndio hii?

Kweli kuna vijana mna siasa, chuki, roho mbaya hata kwa uchumi wenu?
 
Back
Top Bottom