AC to DC power convertor

AC to DC power convertor

big banana

Member
Joined
Jan 23, 2021
Posts
59
Reaction score
108
Wakuu nahitaji kifaa kinaitwa power supply, kutoka AC 220-250 kwenda DC 24 vdc ( 240vac to 24vdc) kwenye Amps 4 mpaka 6 au zaid.

Please kwa wauzaji aje in box.
 
Wakuu nahitaji kifaa kinaitwa power supply, kutoka AC 220-250 kwenda DC 24 vdc ( 240vac to 24vdc) kwenye Amps 4 mpaka 6 au zaid.
Please kwa wauzaji aje in box.
Nicheki whatsapp nikuagizie kutoka dubai chap.

+971527794329
 
Thanks Mbu wa dengue.
Mzigo umefika salama. Nashukuru sana. Thanks kwa uaminifu wako. Niko mkoan lakin mzigo umefika bila wasiwasi. Hii imejenga uaminifu zaid kwako na ntaendelea kuagiza mizigo zaid na zaid kupitia kwako
 
Wakuu nahitaji kifaa kinaitwa power supply, kutoka AC 220-250 kwenda DC 24 vdc ( 240vac to 24vdc) kwenye Amps 4 mpaka 6 au zaid.

Please kwa wauzaji aje in box.

Hakuna AC 220-250 AC inaishia 240
 
Nenda maduka ya vifaa vya tv, radio na computer kanunue power adapter ambayo inatoa 10 dvt, 12dvt, 16dvt na 24dvt inakua na switch ya kuchagua volt unayotaka
 
Back
Top Bottom