Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Jimbo la Kigamboni lililokuwa likishikiliwa na hayati, Dkt. Faustine Ndugulile limeanza kuwaniwa na watia nia wa Chama Cha Mapinduzi ambapo leo hii Juni 28, 2025 Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Dar es salaam kwa chama hicho, Abuubakari Ally (Boka) amejitokeza kuomba ridhaa hiyo.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Boka ambaye licha ya kujihusisha na shughuli za siasa pia ni mdau wa masuala ya afya na michezo amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM wilaya ya Kigamboni, Stanley Mkandawile.
Chanzo: Azam TV