teh teh umenikumbusha kile kisa cha Abunuwasi aliazima sufuria ya mtu akaitumia siku ya kurudisha akarudisha na kisufuria kidogo..akamwambia mwenye mali kuwa sufuria imezaa...jamaa akafurahia mbaya kabisa...baada ya siku kadhaa Abunuwasi akarudi tena kuomba sufuria...jamaa akachangamka sana akijua itarudi na nyingine.....ukapita muda bila Abunuwasi kurudisha.....siku moja akakutana naye njiani akamwambia mbona hujarudisha sufuria yangu? Abunuwasi akamwambia samahani ile sufuria ilikufa....jamaa akahamaki haiwezekani sufuria kufa...Abunuwasi akamwambia kila kinachozaa hufa......
Hahahaha! Hatuogopi bastola sisi...hawajiamini, ndo mana wameanza kutisha watu na bastola....tutafika tu hata iweje. Tanzania yenye neema imekaribia kupatikana!hahahahaaaa ndio sisiemu hawa, wna bastola tu lakini hawana risasi...