Absalom kibanda(mhariri mtendaji) Tanzania Daima alishatimka????

Jolebatawi

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
549
250
Wadau kulikuwa na tetesi kuwa huyu jamaa anahamia new habari corporation kwa RA kuanzia tarehe 1.12.2012,,na ushahidi wa hili ni alipoanza kuandika makala ndani ya gazeti la tanzania daima(m4c kama nape anavyoliita) kwa kuanza kujikomba kwa magamba kama makala yake ya namuogopa kinana,mara kinana ni kimbunga n.k ili aanze kuufukuzia ukuu wa wilaya hiyo 2015 kama watanusurika kufa.
SWALI LANGU NI JE AMESHATIMKA TZ DAIMA??AU ROSTAM BADO HAJAMCHUKUA
 
KOMBESANA

JF-Expert Member
Jun 18, 2009
918
250
Hadi tarehe ya leo Tanzania Daima inaonesha Kibanda Absalom,0754 001010,ni Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima
 
mmang'ula

Member
Nov 27, 2012
22
0
Wadau kulikuwa na tetesi kuwa huyu jamaa anahamia new habari corporation kwa RA kuanzia tarehe 1.12.2012,,na ushahidi wa hili ni alipoanza kuandika makala ndani ya gazeti la tanzania daima(m4c kama nape anavyoliita) kwa kuanza kujikomba kwa magamba kama makala yake ya namuogopa kinana,mara kinana ni kimbunga n.k ili aanze kuufukuzia ukuu wa wilaya hiyo 2015 kama watanusurika kufa.
SWALI LANGU NI JE AMESHATIMKA TZ DAIMA??AU ROSTAM BADO HAJAMCHUKUA

Kaka kibanda vp tena hizi tetesi ni za kweli? Au uzushi tu.kutokana hadhi yako kwa wadau wa habari tz kaka unaonaje ukithibitisha au kukanusha ili tusiendelee kuishi kwenye tetesi tu.naamini u mtu huru kufanya kazi popote ambapo unaona ni sehemu salama kwako.
 
kayogo

Member
Sep 15, 2010
75
125
Wadau kulikuwa na tetesi kuwa huyu jamaa anahamia new habari corporation kwa RA kuanzia tarehe 1.12.2012,,na ushahidi wa hili ni alipoanza kuandika makala ndani ya gazeti la tanzania daima(m4c kama nape anavyoliita) kwa kuanza kujikomba kwa magamba kama makala yake ya namuogopa kinana,mara kinana ni kimbunga n.k ili aanze kuufukuzia ukuu wa wilaya hiyo 2015 kama watanusurika kufa.
SWALI LANGU NI JE AMESHATIMKA TZ DAIMA??AU ROSTAM BADO HAJAMCHUKUA

mzee hapo kwenye red hebu fafanua.
inaonekana ulikuwa unajua haya yote yatatokea tangu 6th dec. 2012!?
 
state agent

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
1,764
2,000
Hiii ilikuwa kitambo sana ,jamaa alitekwa akapigwa kipigo cha mbwa koko
Wadau kulikuwa na tetesi kuwa huyu jamaa anahamia new habari corporation kwa RA kuanzia tarehe 1.12.2012,,na ushahidi wa hili ni alipoanza kuandika makala ndani ya gazeti la tanzania daima(m4c kama nape anavyoliita) kwa kuanza kujikomba kwa magamba kama makala yake ya namuogopa kinana,mara kinana ni kimbunga n.k ili aanze kuufukuzia ukuu wa wilaya hiyo 2015 kama watanusurika kufa.
SWALI LANGU NI JE AMESHATIMKA TZ DAIMA??AU ROSTAM BADO HAJAMCHUKUA
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom