SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,703
- 60,777
huyu naye kanunuliwa na nani? japo sita ni fisadi lakini sio katika extent ya kuandikiwa kitabu huku mafisadi papa wakipeta
Angalia usiwe kilaza zaidi!, yeye amejitolea kuanika ufisadi wa fisadi PAPA= SITTA, hii ni hatua ya kupongezwa. kama wewe siyo kilaza ungeamua kuhangaika na fisadi mmoja unaye mjua ungekuwa umesaidia kutokomeza ugonjwa huu. unapoamua kumpinga aliyeoneshaq juhudi huo ndio u-kilaza.
Kwa kuwa kuna uhuru wa habari waache amuandike kisha kupiti kitabu hicho tayari tutajua nyanya ni ipi na nyanya tonle ni zipi,toka hapo basi itakuwa kazi lahisi sana mbinu mpya ya kuwanyonga mafisadi itakuwa imepatikana.
Wale wote wanaompinga kibanda kama kwa kutumwa au si kutumwa ,kama ni kwa hiari au si hiari, kama ni kwa kulipwa au si kwa kulipwa yote bado ni heri tupu,kwa kuwa tutajifunza jambo au mambo ambayo yanalikabili Taifa kama
1: Ukweli kiasi, ukweli Mwingi,Uongo au uchonganishi ambao unaweza kuwa ni wa upande wa Mh Sita au wa Mafisadi au wa Wengineo wengi ndani na Nje ya Serikali,kwa kuwa yeye kama Mhandishi atakuwa na chanzo [Source] ya taarifa zake na kuwa ili yathibitishwe na wahusika au kukanushwa na wahusika au Kibanda mwenyewe.Kwa kuwa huko mbele ya haki mikononi mwa Watanzania kitakuwa ni Kitanzi cha yeye Mwenyewe Kibanda au Sita au Mafisadi au Wapiganaji wa Ufisadi,kwa kutegemea Ukweli [Reality] ambao jamii itaupima kupitia kitabu hicho.
2: Kitatusaidia kujua Nguvu za Mafisadi kifedha,kupitia uwezo wa upatikanaji wa vitabu hivyo kwa kuwa Watanzania wanajua uwezo wa kifedha wa Absolum Kibanda,wengi wetu tunajua Msemakweli alipotoa kitabu chake cha Mafisadi wa Elimu kimemchukua muda kufika kwa umma kutokana na uwezo mdogo wa kifedha.Hivyo upatikanaji mkubwa wa vitabu hivyo kwa wnye akili zao itabidi waajue nyuma ya pazia [Who is a Big Shark behind it]
3: Kitatusaida kujua nani na nani wa kutiwa kitanzi pindi ukweli wa Taifa utakapokuwa ,Manake Mapinduzi ya umma ya Morocco yamewezesha kujua kumbe mjane wa Yassel Alafat kwa kushirikiana na Mke wa Rais wa Morroco wameifisadi Morocco kwa mgongo wa Rais.
4: Tutakuwaa tumeongeza ufahamu wa chachu, chungu na tamu ya UFISADI wa Taifa letu na hivyo kuongeza KASI NA HAMU YA WATANZANIA KUONYESHA HISIA ZA KUTAKA KUCHUKUA SERIKALI YAO,NA HIVYO KULIFANYA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA [JWTZ] KUCHUKUA HATAMU KABLA MAMBO HAYAJAHARIBIKA.Kwa kuwa JWTZ ndio chombo cha Umma pekee kilichobaki chenye uhalali wa Kuwavusha Watanzania Kwenye Kipindi hiki cha Mpito.
5: Kwa hayo machache yatakayokuwemo ndani ya kitabu tayari tutakuwa tumepata hata kumbukumbu kama ni ya uchonganishi, uongo, ukweli, ya kuyumbisha Ukweli,au ya Kuficha Ukweli,tayari tutakuwa na mhuri.
Muache aje!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ni Mtanzania ana haki yake,Ukweli wa Mbivu tutaujua
Kibanda anafanya kazi ya Boss wake Mbowe, Mbowe na Slaa wamekwishanunuliwa na Rostam na Lowasa, mashambulizi wanayaelekeza kwa watu waliohusika kuwadamage Lowasa na kundi lake, Lowasa alipofanya mkutano na waandishi hakuna kiongozi yoyote wa CDM aliyecounter attack hoja zake isipokuwa CUF.
Kibanda ni muajiriwa wa Mbowe, anaandika kitabu cha ufisadi wa Sitta ili iweje? coz ni lazima kuwe na sababu ya yeye kufanya hivyo, then what? ameshindwa kuanza na cha Rostam na Lowasa?, la hasha ni vile ametumwa kufanya kazi ya Boss wake Mbowe. Simtetei Sitta, ni kweli anaweza kuwa na makosa yake ya kifisadi kama yapo, lakini je yanalingana na ya lowasa na rostam?
Watu wanapigana kwa bidii dhidi ya ufisadi lakini sasa viongozi wa CDM na washirika wao ndio wamekuwa ngao ya mafisadi wakuu, angalia siku hizi gazeti la mwanahalisi linalomilikiwa na mkurugenzi wa fedha na utawala wa CDM linavyomuandama Sitta, Lowasa siku hizi wala haguswi, na mkakati wenu ni kumwingiza lowasa ikulu, kama Mungu anaishi Lowasa hastahili kuwa rais hata siku moja, jizi hilo ndio linasababisha mchafue watu coz of money?
kweli mtanzania ana kazi kujikomboa.

Hata kama Sitta ni mchafu lakini bado hajaanza kunuka. Lowassa na RA ni wachafu kiasi cha sabuni nazo kuogopa kuwasafisha kwa kuogopa kuchafuka.
Kibanda anafanya kazi ya Boss wake Mbowe, Mbowe na Slaa wamekwishanunuliwa na Rostam na Lowasa, mashambulizi wanayaelekeza kwa watu waliohusika kuwadamage Lowasa na kundi lake, Lowasa alipofanya mkutano na waandishi hakuna kiongozi yoyote wa CDM aliyecounter attack hoja zake isipokuwa CUF.
Kibanda ni muajiriwa wa Mbowe, anaandika kitabu cha ufisadi wa Sitta ili iweje? coz ni lazima kuwe na sababu ya yeye kufanya hivyo, then what? ameshindwa kuanza na cha Rostam na Lowasa?, la hasha ni vile ametumwa kufanya kazi ya Boss wake Mbowe. Simtetei Sitta, ni kweli anaweza kuwa na makosa yake ya kifisadi kama yapo, lakini je yanalingana na ya lowasa na rostam?
Watu wanapigana kwa bidii dhidi ya ufisadi lakini sasa viongozi wa CDM na washirika wao ndio wamekuwa ngao ya mafisadi wakuu, angalia siku hizi gazeti la mwanahalisi linalomilikiwa na mkurugenzi wa fedha na utawala wa CDM linavyomuandama Sitta, Lowasa siku hizi wala haguswi, na mkakati wenu ni kumwingiza lowasa ikulu, kama Mungu anaishi Lowasa hastahili kuwa rais hata siku moja, jizi hilo ndio linasababisha mchafue watu coz of money?
kweli mtanzania ana kazi kujikomboa.
mkuu sidhani kama kanunuliwa ,Kibanda ni kichwa hasa ni mmoja kati wa chache tulionao kwenye tasnia ya habari. mwingine anaitwa balilehuyu naye kanunuliwa na nani? japo sita ni fisadi lakini sio katika extent ya kuandikiwa kitabu huku mafisadi papa wakipeta
Wadau mtaona kama watu wengine tunamtetea Sitta ama tunampenda sana, no ila kutoka sasa mpaka kufikia ccm kumpata mgombea atakaemrithi kikwete tutaona na kuyasikia mengi sana kutoka kwa hawa wahariri wetu.
Kibanda antumiwa na Lowassa siku nyingi kabla hata ya kubenea,suala la yeye kutumiwa na lowassa lilikua likimkera hata kubenea mwanzo kiasi mpaka cha kufikia kujaribu kumchongea kwa bosi wake mh.freeman mboe ambae mara zote amekua akimtetea kibanda kwa kusema yeye amewaachia uhuru na hawaingilii wahariri wake japo nayeye anahisi kibanda anatumiwa na mafisadi.
Sina uhakika na taarifa za hicho kitabu ila kama kweli kipo huo ni mkono wa Lowassa hakuna jingine,kwani mwanzo ilikua Lowassa aanzishe gazeti na kibanda awe mhariri wa hilo gazeti, mpango ambao naamini haujafa kwa kuwa kila kitu kilikua kimekamilika ikiwemo mpaka ofisi pamoja na furniture za ofisi, sasa labda Lowassa amaeona kitabu ndio kitafaa zaidi na kwa jeuri ya pesa ya mafisadi kina lowassa si ajabu hicho kitabu kikawa kinagawiwa bure, tusubiri tuone, lakini watanzania tuwe makini sana na waandishi hawa nitakaowataja kwenye list of shame ya wahariri wa bongo:
1: Said Kubenea
2: Absalom kibanda
3: Jacton Manyerere
4: Deo Balile
5: Muhingo Rweyemamu wa mtanzania (siku hizi nasikia pia ni afisa habari wa Manji)
Hii ndio tano bora ya wahariri hatari na wenye uchu wa ajabu wa kujengewa nyumba na mafisadi hapa nchini.Hawa jamaa wameahidiwa donge nono kama watamsaidia Lowassa kuingia ikulu, kama ilivyokuwa Salva Rweyemamu alipokua Rai kipindi kile akifanya kazi ya kumsafishia njia jk kwa kuwachafua washindani wake, basi na hawa watano wako kwenye payroll ya Rostam na Lowassa kuhakikisha Lowassa anaingia ikulu, tuombe uzima, haya mtakuja kuyakumbuka huko mbele.
Eti atatunga kitabu!!!!!!!!!!!!!
Acheni kumshitua ili tuone upuuzi wake! Njaa mbaya sana, Watuhumiwa wakubwa wa ufisadi wanajulikana nchi nzima, wewe unaibuka na wa kwako tu. Tanzania inamatatizo mengi, ina mambo mengi ya kuandikia lakini siyo ufisadi wa Sita kwa wakati huu. Jamaa ameingia choo cha kike kabisa. Kweli njaa mbayaaaaaaaaaa.
Unajua absolom anaumia kama niumizwavyo mimi na hizi tabia za Sita na Mwakyembe kwanini wanang'ata na kupuliza? Sita kama siyo fisadi kwanini aliamua kuumaliza mjadara wa Richmond baada ya kuagizwa na wakuu wake ambao wana link na mafisadi? naye mwakyembe kwnini aliamua kuamua kutokusema kila kitu kwa kisingizio cha kutunza heshma ya serikali? alafu leo hii wanaendelea kujidai wanachukizwa na ufisadi, wangekuwa siyo mafisadi na wanachukia ufisadi Sita angeruhusu mjadala uendelee mpka kieleweke na Mwakyembe angesema kila kitu ili serikali iumbuke kwa maovu yake