Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 2,786
- 7,567
Yaani hii imenishangaza kwakweli, inakuaje aachwe aliyetamka halafu lawama liende kwenye gazeti? Yaani ni kama vile hawajamuona Makalla kabisaa kwa kwenda kulishukia gazeti.
Au wanakubali alichokisema Makalla, maana hata kusema wanazua taharuki bado hawajakana alichosema Makalla
Pia soma Pre GE2025 - Habari Leo waondoa taarifa ya Makalla kuwatuhumu CHADEMA kutaka kusambaza Ebola, wasema haikuwasilishwa kwa usahihi
===
Kupitia ukurasa wake wa X Absalom Kibanda amendika haya,
"Makosa yafanywe na Katibu wa Uenezi na Mafunzo wa CCM halafu vyombo vya habari ndiyo vibebe mzigo wa lawama. Huku ni kuingilia uhuru wa habari kwa gharama za kukwepa UWAJIBIKAJI wa viongozi wa UMMA. CPA Makalla awajibike kwa kauli yake"
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025