imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,403
Hizo Mahakama za kupigiwa simu?!Kwa Tanzania ni mahakama tu yenye uwezo wa Kuthibitisha tuhuma zozote kama ni kweli au si kweli. Je, Mahakama imethibitisha?
Hizo Mahakama za kupigiwa simu?!Kwa Tanzania ni mahakama tu yenye uwezo wa Kuthibitisha tuhuma zozote kama ni kweli au si kweli. Je, Mahakama imethibitisha?
Kwahiyo nani atamwajibisha kama mahakama haiwezi kumwajibisha?Hizo Mahakama za kupigiwa simu?!
Tunapaza sauti ili ijulikane kuwa TANZANIA hakuna utawala wa Sheria bali ni maigizo kutoka juu.Kwahiyo nani atamwajibisha kama mahakama haiwezi kumwajibisha?
Kwahiyo uliposema "Makalla awajibishwe" ukijua kuwa haiwezekani maana yake "uliropoka" sio?Tunapaza sauti ili ijulikane kuwa TANZANIA hakuna utawala wa Sheria bali ni maigizo kutoka juu.
Sheria hazifuatwi Katiba haifuatwi Nchi inapelekwa ki CCM tu ambao ndio TABAKA lililo juu ya Sheria.
Nimesema kama Sheria zinavyosema hata kama tunajua CCM hawafuati Sheria inafikia hata wanaua na kupoteza Wapinzani kwa kutumia vyombo vya usalama.Kwahiyo uliposema "Makalla awajibishwe" ukijua kuwa haiwezekani maana yake "uliropoka" sio?