"Tukiwakamata Mafisadi, Uchumi wa nchi yetu utayumba".....Mizengo Kayanza Peter Pinda, Bungeni 2011
Kwi kwi kwi kwi kwi!Kila la heri Kibanda katika kazi yako mpya ya kuusafisha mkaa
hadi utakate na kuwa mweupe. Usijali ilimradi siku zinakwenda...
Huu mtazamo wake ulianza kubadilika pale wazo la kuhama lilipomjia?Si maslahi na wala si bifu na muajiri wake huu ni uamuzi wake, tukijifunza kuheshimu uamuzi wa wengine tutakuwa katika njia sahihi tuitakayo, hata kama hatukubaliani nao.halikuwa bifu na waajiri wake wa awali kama inavyavysemwa hapa, ule ulikuwa mtazamo wake katika kuonyesha kile anachoamini ni jukumu la wale watakaoona ukumbusho ule unawafaa watumie na wasioutaka waache
Mzee akiingia magogoni, jamaa atakuwa mkuu wa kitengo cha mawasiliano kama Siliva RweyemamuHawawezi mkuu labda iwe ni mkakati wa kambi yao.Pengine mkakati wa kumshughulikia Mbunge wa mtama na kiongozi ajaye wa upinzani (baada ya uchaguzi mkuu 2015)Sasa huko alikoenda kuna changamoto gani?
Ni kama anasema,Aisee Salva unajua hata wewe umekula shavu kwa kuwanyuka wapinzani?Kama vipi liwalo na liwe naachana na umma naangalia tumbo langu,naja kwa mafisadi kuwalamba miguu nitwaandika vizuri,nitawapamba na hatimaye na mimi nikale vyuku magogoni kama wewe bhana!!!!!!....My take,Eee Mungu tuokoe na hili balaa la njaa!!!Karibu nyumbani Kinana Kafanya kazi
Uchumba ulianza hivi
Welcome Meeeeeeeeeeeeennnnnnnnnnnnnnnnn:target::target::target::target:😛op2:😛op2:😛op2:😛op2:😛op2:
Duh! Alikuwa Balile, akaja Peter Nyanje (yeye alienda the Citizen kama sikosei). Pia kuna Kulwa Karedia alienda Habari corporation. Sasa Kibanda. Yangu macho.
Namwaminia Ansbert Ngurumo.