Abromovic anamuiga Manji na bakhresa?!!!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,427
2,000
Kuna msemo unasdma 'mwafrika akiulamba na kandambili ushamba,mzungu akiulamba na kandambili fasheni' Haya sasa yanga na azam walipofukuza makocha kwa kufanya vibaya mkatukana sana mara oooh soka la bongo sijui nini na nini,haya kosoeni na wazungu sasa.
 
Top Bottom