About time MWENGUO wa TTB akamove on | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

About time MWENGUO wa TTB akamove on

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Nov 22, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Kwanza tazama hili Tangazo

  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=p2rEb52pp1s[/ame]


  Huyu jamaa yuko pale tangu enzi za Zakia Meghji na so far naona focus imekuwa kutangaza nchi kuwa ina wanyama wengi bas na ule mlima unaoyeyuka kule juu. No wonder hata Blandina Nyoni pamoja na kujidai kuwa ni mtu wa standards alishindwa kumhamisha

  Nadhani its about time wakamweka mtu mwingine mwenye mawazo tofauuti na huyu Mwenguo

  Hivi kuna ugumu gani kwa Mwenguo kulobby JIJI waweke Traffic lights ili wale watalii wapovuka kukata ticket pale St Peters sasa jiulize ishu ndogo kama hiyo kama inamshinda ndio ataweza kweli hiyo grand ambitions za kuifanya Kariakoo kuwa tourist attraction?
   
 2. O

  Ogah JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  akili za Mwenguo zimefika ukomo....na waliomuweka hawana tofauti.......no help
   
 3. Bambo

  Bambo JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 237
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  toka mke wake yule mlevi afariki basi hana akili tena ya kuhusu utalii!!!!
  Actually masikini nchi yetu haina upeo wa kutangaza utalii angalia hata matangazo yao ya kimataifa ni kioja hawataki kukusanya data toka kwa watz wa sehemu mbalimbali ila wanataka wale wenyewe na watu wa ubalozini kujifanya wanazijua kila kona za nchi ambazo mabalozi hao wapo wakati mabalozi wetu at large wanaishia kwenye capitals...kwa mfano kama UK wanajua london,US wanajua washington na New york n.k Lakini hela zinazoliwa kwa mfano hapa UK walikuja wiki ilyopita ni nyingi mno kuliko kutangaza huo utalii. we London kuna mtalii gani wakati ile ni Multicultural city!!!? potential tourists wapo country side
  kwa hiyo wahusishwe watu wa miji mingine!!!!
   
 4. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2009
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,132
  Likes Received: 23,757
  Trophy Points: 280
  Huyu mtu nimeanza kumsikia toka enzi za Tanzania Tourist Corp (TTC). Hivi bado yupo tu!.
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Tatizo siyo yeye, tatizo ni system ilimuacha akakaa pale mpaka TTB imekuwa an organization of the past, many decision making bado ziko kwa watu wa fedha na uatawal... kama enzi zile za nyerere

  TTB needs overhaul
   
 6. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  GT Blandina Nyoni hajifanyi kuwa mtu wa standars bali ni mtu wa viwango vya hali ya juu na we ngoja uone atakavyobadilisha pale Ocean Road Cancer hospital baada ya tuhuma zinazowakabili viongozi wa pale. She is an IRON lady no jokosity!! I guess she believes in ACTION and not ELOQUENCE!!
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Si yeye tu hata watendaji wa juu pale karibu wote, ukiondoa wachache wapya
   
 8. O

  Ogah JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  walichokifanya si kibaya....isipokuwa wanatakiwa waongeze the outrech campaign ya kuitangaza Tanzania na Utalii wake......mfano wakakti napita kijiji kimoja huko Sweden....nilikutana na tangazo la Utalii Kenya kwenye kituo cha basi.......na jingine karibu na Gas station.........vitu vidogo kama hivyo....vitasaidia......sisemi sasa ndugu zetu wa Utalii watoke kichwa kichwa kwenda kuweka matangazo....inabidi wafanye kazi ya kubuni strategies (kutambua locations zaidi) ya kuwapata potential tourist na kuweka matangazo huko
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ogah!!!

  it couldnt have been said any better!!!! Wanatakiwa waongeze the outreach campaign!!!

  Sasa tatizo linakuja moja tu kwa hawa jamaa, STRATEGIES TO MARKET TANZANIA TOURISM ATTRACTION!!!

  Wao wanadhani ni kwenda kwenye exhibitions nk. unakuta mkurugenzi mzima (hapa namaanisha Peter, Macha, Finance Director, hadi afisa uajiri) wanajazana kwenye square meters 12 ulaya wakisimia vipeperushi na flat screen moja, this is totally abuse of available resources!!! Wao utangazaji hadi leo ni kwenda exhibition, kudhamini miss Tz na utalii na kukusanya fedha za tour operator kuwaandalia mabanda... HAPO SIJAGUSA ruzuku itokanayo na walipa kodi wa chi wafadhili na sie akina chukulubu!!

  It could have been done better

  • kwanza kuachia marketting department uhuru
  • Pili kujenga uwezo wa watumishi wa idara husika
  • Tatu ku-review thier annual marketting stragegies
  • Nne kushirikiana zaidi na sekta binafsi sio kuwapigia simu kuomba complementatry na michango
  • Tano kutumia vyema our networks nje
  • Sita and the most IMPORTANT KUWA THE REAL BODI YA UTALII NA SIO MADALALI WA TOUR COMPANIES - maana yangu hapa ni kwamba act yake ibadilike na iwape kazi ya kusimamia utalii, kwa sasa hawana tofauti na TANAPA, NCAA na tour operators
  Those are my two cents
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  THanks!!!!
   
 11. a

  alexxmwasha New Member

  #11
  Jan 9, 2010
  Joined: Sep 29, 2008
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  I just heard that Peter Mwenguo has retired as of yesterday. So he is not anymore at the Tanzania Tourist Board. Lets see who takes his place and will he be able to change TTB?
   
 12. a

  alexxmwasha New Member

  #12
  Jan 9, 2010
  Joined: Sep 29, 2008
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I just heard that Peter Mwenguo has retired as of yesterday. So he is not anymore at the Tanzania Tourist Board. Lets see who takes his place and will he be able to change TTB?
   
 13. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #13
  Jan 9, 2010
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Ni kweli Mwenguo alitakiwa kuwa amejiondoa kwa umri na muda wowote kutakuwa na mtu mpya . GT tatizo si Mwenguo bali ni Macha ambaye ni Marketing Director wa TTB . The man hajui hata kutumia computer , ni mlevi , ni msiri na anapenda rushwa. Huwezi kupenya TTB kama Macha hujampa anacho kitaka . SO again shida si Mwenguo bali ni Macha . Wizara inatakuwa kumuonda Macha ana mawazo mgando na hawezi kupokea mawazo mapya hata mara moja na hayuko tayari .

  Kwa mfano wa huu upuuzi wa Macha katika maonyesho yote ya utalii Ulaya TTB wana mkataba na Mwingereza mmoja ambaye ndiye anajenfa stand zote za TTB katika maonyesho yote Ulaya . Yaani anaondoka UK asubuhi na kurudi Jioni .TTB ukiangalia standard ya stand zao katika maonyesho ni very poor ila hawako tayari kumwachia huyu jamaa mzungu wa UK kwa kuwa anawapa chao .

  TTB hata ukiwapa za kuitangaza Tanzania na utalii wao wana mawazo kama ya mkuu wa Nchi kwamba akimpa Drogba Jezi ya stars basi TZ imetangazwa hapana.

  Tanzania inajulikana sana sana ila kuna ulaji wa pesa na hawataki kuifanya iwakae wazungu vichwani kw akufanya mambo madogo madogo . Kuna progs za TV local Ulaya , editorials kweney magazeti , Internet na roa shows lakini yote haya hawawezi kuachia watu wenye uwezo lazima Macha awepo na Mwenguo na waziri . Kuna mengi pale TTB na kwa mwendo huu lazima Macha aondoke baada ya Mwenguo ndipo waje watu wenye uwezo wa kuelewa nguvu ya media nk .Vinginevyo hakuna kitu
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Lunyungu, tatizo pale ni kubwa mno... ni la kimfumo!!! Angalia watu wa research pale wanafanya nini, angalia marketing strategies, angalia kazi za bodi katika policy zikoje maana nijuavyo mimi na kwa kuangalia level ya industry TTB haikuhitaji kuwa na promotion strategies kama za NCAA, Antelope tours etc. they should oversee the industry hence moe regulatory kuliko sasa ambavyo na wao wanazungusha vipeperushi
   
 15. O

  Ogah JF-Expert Member

  #15
  Jan 9, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mkuu hiyo ni kweli tupu........natumai wanakusikia.......
   
Loading...