About oral interview

20PROFF

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
7,970
6,760
Habari

Wandugu na wazoefu wa hizi michujo. Hivi oral interview inakuwa husika na ishu gani hasa je ni kwenda kupigwa technal n proffsinal qns au nin hasa

Nimewah attending interview kama mbili but zilikuwa hazina complications. Ila hii ya kupiga written then inakuja oral never kitu kaa hii hebu mwenye uzoef na mjuzi
Anijuze more about oral interview
 
Kwa mm ninavyojua oral inakuwa zaid kuh.prof.yan kaz unayoomba unatakiwa kujiandaa ktk hlo ila pia kuna basic questions,kama kawaida
 
Unaweza ulizwa responsibility kulingana na tangazo. Tell about yourself. Maswali mengine yatahusu position yako na darasani
 
Unaweza ulizwa responsibility kulingana na tangazo. Tell about yourself. Maswali mengine yatahusu position yako na darasani
Nimekupata vema
Kwa mm ninavyojua oral inakuwa zaid kuh.prof.yan kaz unayoomba unatakiwa kujiandaa ktk hlo ila pia kuna basic questions,kama kawaida

Tanx mkuu
 
hapo ni kuangalia soft skills ambazo unazo.... kufaham uwezo wako.. uelewa wa mambo na mengineyo.
 
Back
Top Bottom