Hivi wakuu ni sahihi nikisema "waislamu waache kupiga viongozi wa nchi" simply because Said kampiga mzee Mwinyi?
Kwani amekosea aliposema hao jamaa wanalawiti watoto? kwani uongo?
Not at all! It is elementary probability that if there is a 95% chance that something will not occur in one repetition of an experiment, then 10 independent repetitions of it will lower the chance that the event will not occur at least once down to 60%. Twenty repetitions will lower that further to only 36% And fifty repetitions will bring it down to a lousy 7.6% !
This is not rocket science. Did you not learn this elementary probability when you were in high school?
If you want to bury your head in the sand and insist that condoms will save you, then go ahead! You are sure to be infected that way!
Mkuu kule visiwani wajumbe wa uwakilishi wakitetea serikali yao husema "naunga mkono mia kwa mia" na mimi nakuunga mkono kwa dizaini ya CCM 100 kwa 100.
Ashakum maneno si matusi hivyo hiyo kondom huwa inaziba hadi juu kabisa ya u u me?. Tusidanganyane tumeshatumia hizo kondom na nyakati nyengine kazi ikiwa pevu ukimaliza inabidi uuitafute ndani ya u c h i wa mwanamke.
Najuwa wako watakaosema kuwa labda hizo kondom hazina kiwango na iwe hivyo lakini katika biashara hizi za udanganyifu na mtu asiejuwa kitu akishaambiwa na Rais wake mstaafu, muislamu mwenye maadili kuwa kondom ni suluhisho la kufanya zina, nini unategemea? tutakufa lakini nakumbuka ile stori ya mlevi aliepita msikitini akakuta shehe anatowa mawaidha na akasema
"watishe hao!" Ni bora hivyo kuliko alivyofanya mzee wetu.
Exactly, mkuu! Kama ningeendekeza matumizi ya kondomu ningekuwa nimeshashika udongo (kufa). Mimi ilinitokea mara 3 hivi. Mara ya kwanza niliitafuta kama ulivyosema na nilidhani kama imebaki ndani lazima mwenzangu apate 'operation' ili kuitoa. Lakini kwa bahati nzuri tuliikuta ikiwa kitandani.
Mara ya pili nilikuta kule mbele ilikuwa wazi (imeshatoboka) na mara ya tatu ilibidi itafutwe pia. Sasa katika mazingira kama haya (na huu ni mfano mmoja tu) mtu eti apigie debe matumizi ya kondomu kwamba inatoa kinga ya Aids?
Baada ya mara hizo tatu siwezi kumshauri mtu eti kondomu inazuia ukimwi. Hapo ni kusema uongo. Lazima tufike mahali tukubali kwamba kupambana na ukimwi ni kupiga vita 'irresponsible sexual behaviour'. Kwa nini tuendekeze mazoea mabaya yanayotuingiza kwenye mauti?
Ila kitu ambacho naweza kukubali ni kwamba: kama mtu amepanga kuzini leo na anaweza kuzini akiwa na kondomu au hapana basi ni vizuri kuliko kuzini bila kondomu aivae 'in case kiweza kumsaidia asiambukizwe'. Lakini nje ya mazingira kama haya ni heri mtu awe mwaminifu 'piga-ua'.
Msg SENT!
Umeshaivaa hiyo kondom na zile za salama zina kipimo kama urefu wa suruali?wandugu back to the mada ukweli ni kwamba sayansi huwa haikubaliana na imani.condom inazuia maambukizi ya ukimwi na alilofanya Mzee Mwinyi ni jambo jema kabisa isipokuwa hakuwa katika sehemu muafaka.Hizi propaganda za kusema condom haizuii ukimwi hazina scientific proof yoyote.Wanaposema condom inazuia ukimwi kwa 95% kwa mfano manake yake ni kwamba ile 5% inaweza kuwa kwa sababu condom haikuvaliwa vizuri ama imekwisha muda wake na siyo kwamba etu condom ina vitundu kwa mbele wadudu wanaweza kupita.Kwahiyo ukipata condom ambayo ni ya quality nzuri na ikatumika vizuri basi hakutakuwa na maambukizi ya ukimwi.
Viongozi wa dini wanataka kuigeuza vita ya ukimwi kuwa ya kiimani tu kitu ambacho hakitakaa kiwezekane kamwe.Wao waendelee na kazi yao nzuri ya ku promote sexual abstinence kwa waumini wao na wawaache wanaharakati wengine waendelee kuuza sera ya condom.
Waache unafiki kwa sababu wanajua kabisa wao wenyewe ni wadhaifu kama binadamu wengine pia ambao mwisho wa siku ya ibada wanajikuta wanaangukia kwenye uovu wa zinaa.Sasa kipi bora:waumini waendelee kufa kwa ukimwi kwa sababu wamekatazwa kutumia condom au watumie condom na mwisho wa siku wanaweza kutubu na kuokolewa na Mungu wao?
I was just laughing at the irony about Mwinyi and Pope Benedict a few minutes ago. Imagine! Will we ever get the best solution to this problem?
Mkuu Mkandara sawa Mwinyi alichemsha kwa kuwa haikuwa mahala pake.Lakini hii haimkatazi Mwinyi akiwa sehemu muafaka kuuza sera ya condom.
Mwaka 1981 kulikuwa na dini hizi, na makanisa haya, wagonjwa wa ukimwi walikuwa 3 tu.
Leo 2009 DINI ZILE ZILE wagonjwa ni mamilioni!!
- The Solution is and will always be = Abstinence
Hapa tuache ngono tu na kuwa waaminifu,na hizo condom hazisaidii chochote,ni kufarijiana na kuongeza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi. Dawa ni kuacha ngono,na kuwa na mpenzi mmoja ila mwaminifu na hii ni kutokana na sala.