Msg SENT! 😀
Mwinyi alichemsha!....Kiongozi wa serikali unapokuwa ktk mazingira kama yale ni lazima ufahamu unazungumza na watu gani na katika maziongira gani!.. Mwinyi alichemsha period!..Tazama basi viongozi wanaofahamu jinsi ya deal na issues..
The pope also said that he intends to make an appeal for "international solidarity" for Africa in the face of the global economic downturn.
He said that while the church does not propose specific economic solutions, it can give "spiritual and moral" suggestions...
Spiritual na Moral suggestions...haya nduio maneno, huyo Mwinyi hakufahamu kuwa mkusanyiko ule ulihitaji vitu hivyo sio habari za biashara ktk ngono...Kuna sehemu na wakati wa kuzungumzia mambo hayo..
wandugu back to the mada ukweli ni kwamba sayansi huwa haikubaliana na imani.condom inazuia maambukizi ya ukimwi na alilofanya Mzee Mwinyi ni jambo jema kabisa isipokuwa hakuwa katika sehemu muafaka.Hizi propaganda za kusema condom haizuii ukimwi hazina scientific proof yoyote.Wanaposema condom inazuia ukimwi kwa 95% kwa mfano manake yake ni kwamba ile 5% inaweza kuwa kwa sababu condom haikuvaliwa vizuri ama imekwisha muda wake na siyo kwamba etu condom ina vitundu kwa mbele wadudu wanaweza kupita.Kwahiyo ukipata condom ambayo ni ya quality nzuri na ikatumika vizuri basi hakutakuwa na maambukizi ya ukimwi.
Viongozi wa dini wanataka kuigeuza vita ya ukimwi kuwa ya kiimani tu kitu ambacho hakitakaa kiwezekane kamwe.Wao waendelee na kazi yao nzuri ya ku promote sexual abstinence kwa waumini wao na wawaache wanaharakati wengine waendelee kuuza sera ya condom.
Waache unafiki kwa sababu wanajua kabisa wao wenyewe ni wadhaifu kama binadamu wengine pia ambao mwisho wa siku ya ibada wanajikuta wanaangukia kwenye uovu wa zinaa.Sasa kipi bora:waumini waendelee kufa
kwa ukimwi kwa sababu wamekatazwa kutumia condom au watumie condom na mwisho wa siku wanaweza kutubu na kuokolewa na Mungu wao?
mimi nina practical proof sio scietific tu ya kwamba condom hata mimba haizuii
Nasemaje hizo defects ndogondogo zipo kama condom haitatumika vizuri.Kwa mfano wewe unatoka na demu na mapombe yako kichwani unafika geto kwavile midadi ishakupanda unachana condom fasta fasta unajivalia.Hapa lazima uwe kwenye risk ya ku contaminate.
Nakuhakikishia condom hata mimba haizuii ,mimi tangu nizaliwe sijawahi kunywa pombe wala kuvuta sigara.Lakini nakwambia condom hata mimba haizuii.
Nakushauri tuu ukitaka kukwepa ukimwi na mimba acha ngono kabisa.
Unathibitisha kwa hadithi za vijiwe vya kahawa.Hiyo practical utatuthibitishia vipi wakati ulikuwa kivyako?Weka ushahidi wa kisayansi kama unao.
Condoms not very effective --Pro Life
Friday, August 09, 2002 .
By Correspondent Lumuli Minga
Condoms are only 60 to 70 per cent safe and should not be advocated as the best protection against HIV transmission.
Emil Hagamu, the Director of Pro Life, an NGO dealing with scientific research and counselling methodology said this to journalists in Dar es Salaam, yesterday.
Hagamu who was accompanied by Prof. Philip Ney, a Clinical Professor in family practices from Canada, said research done by scientists using HIV proved that 29 out 89 condoms were leaking.
"This data means condoms have between 60-70 per cent chances of protection from HIV. Therefore using a condom as a protective device is not safe at all," said Ney.
He said there were four main problems that face those who use condoms which make researchers conclude that it is not effective.
He mentioned the possibility of leaking, which allows HIV virus penetration. Improper use and storage of condoms which he said was the biggest problem all over the world.
He also said that those who do unnatural sexual intercourse have a higher risk of HIV transmission because the skin on those parts is softer making it easier for HIV virus to penetrate.
Madie Poeters Ney also from Canada, said the United Nations in June this year published a report which indicated that condoms were not very effective in fighting the AIDS pandemic.
"On June 23 this year a population division of United Nations Department for Economic and Social Affairs published a report indicating that condoms were not effective in protecting against HIV transmission," she said.
Tukubali kwamba kwa sababu mbali mbali (ubovu, etc), tendo moja la ndoa na kondomu linakupa kinga ya 95%. Hii ina maana kwamba ukirudia huo mchezo mara 10, uwezekano kwamba hutapata ambukizo ni 0.95 raised to power 10 = 0.5987. And 20 repetitions lower the protection down to 0.95 raised to power 20 = 0.3585
Yaani ni uendawazimu kuwa mzinifu ukidhani unalindwa na kondomu.
Nakuhakikishia condom hata mimba haizuii ,mimi tangu nizaliwe sijawahi kunywa pombe wala kuvuta sigara.Lakini nakwambia condom hata mimba haizuii.
Nakushauri tuu ukitaka kukwepa ukimwi na mimba acha ngono kabisa.
A study published in 1994 in The New England Journal of Medicine looked at 256 heterosexual mixed status couples. Of the 124 couples that consistently used condoms, none of the HIV-negative partners were infected. Among the 121 couples that did not consistently use condoms, 12 (about 10 percent) of the HIV-negative partners became infected. Additional studies found similar results."
UKIMWI nao utaisha siku moja!
Ila mapadre waache kuwalawiti watoto wadogo wakiume!
Hata wewe usitudanganye. Mimi nimefanya kazi na watu waliokuwa wanatumia kondomu huko Uingereza na hata hapa Afrika (huko Malawi) na wakapata ukimwi. Au hao hawakutumia kondomu za Tanzania?
Issue ya Aids ni complex na hivyo kondomu pekee ni uongo. Inabidi tu watu wajifunze kuchagua moja: kupata ukimwi kwa kuendekeza ngono (irresponsible sexual behaviour) au kuzuia kwa kujitahidi kuishi kiaminifu. Hizo kondomu zipo kwa biashara. Mbona watu wanaendelea kufa na kondomu zinaendelea kuuzwa au kugawiwa kama kweli zinazuia ukimwi?
Nakuhakikishia condom hata mimba haizuii ,mimi tangu nizaliwe sijawahi kunywa pombe wala kuvuta sigara.Lakini nakwambia condom hata mimba haizuii.
Nakushauri tuu ukitaka kukwepa ukimwi na mimba acha ngono kabisa.
Not at all! It is elementary probability that if there is a 95% chance that something will not occur in one repetition of an experiment, then 10 independent repetitions of it will lower the chance that the event will not occur at least once down to 60%. Twenty repetitions will lower that further to only 36% And fifty repetitions will bring it down to a lousy 7.6% !This is some silly math! You are assuming that each time you have sex you are having it with an infected person!