Abortion

Abortion

Bilulu II

Member
Joined
Oct 7, 2014
Posts
58
Reaction score
6
Nashindwa elewa kwa nini wadada wengi hasa vyuoni wanafanya abortion..* Ebu nsaidieni n nn hasa sababu***
 
Wanafanya sex kwa starehe.mimba zinakuwa zisizohitajika
 
lakn ndo jamii ya wasomi tunowategemea** baadae** na inakwaje kwa mwanaume mchangia mimba mh*** naye n wale wale ama???
 
Kuna slogan moja inasema 'abortion makes you a mother to a dead baby'. Ngono nzembe
 
mi nachukia mtoaji mimba. but tukumbuke hamna mwanamke anayetoa mimba kama mwenzie wamekubaliana vizur watamlea mtoto.
mimba ikikatakiwa ndio hutoa.
Pia mwanamke aliyezaa mtoto na hakuolewa anasimangwa na kukejeliwa na wanaume sana
Hivyo mtu aliyepata mimba kuzaa yahitaji ujasiri sana.
 
Wanapewa hizo mimba na waume za watu, unadhani watazipeleka wapi.
 
Back
Top Bottom