Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,819
- 56,295
Elezea zaid. Anakuwa na alama gani kwenye paji la usoUnakuta ujanan tu keshashusha injini mara mbili mpaka tano .....apo lazima awe mjanja.
Alafu demu alotoa mimba mwangalie Mstari wa Uzazi, au uson kwenye paji. Au juu ya viganjani .
Nikweli wapo wanaopelekea hili suala liwe namizizi yake , wote tu wanastahili adhabu .ila ss inakuaje na upande wetu ss wanaume ambao wengine huwa chanzo cha wadada kutoa mimba?
Hii case ngumu sana aisee chief
Mmhhhh mkuuu dini ndo kabisa, unajua hili suala ni dhambi, sasa shetan ndo mkuu wa dhambi, ndomaana unasikia kiongozi fulan fulan anapigia chapuo utoaji wamimba. Kumbe ni uuaji.kibaya zaidi viongozi wetu wa dini hawalipi msukumo wa kutosha swala hili sijui kwakuwa na wao waliwatoa mabinti za watu mimba? swala la siasa lina nguvu sana kuliko uhai wa watu bado halijaongelewa kwa mapana.
Mkuuu, kwanza tambua kwa haraka haraka ningumu kumjua mwanamke alotoa mimba ,unless yeye mwenyewe aamue kukwambia, nakwasababu ya USIRI , mwanamke ningumu kusema Katoa mimba na ametembea na wanaume wangapi.Elezea zaid. Anakuwa na alama gani kwenye paji la uso
Wote adhabu iwe mojatuMsiwahukumu sana wanawake tumwachie Mungu, vipi wale waliozikataa mimba!!???
ha ha!
Swali zuri. Hata Mimi sijamuelewa Mtoa post. Jambo hili sio la kuchekelewa wala kuwekwa Mtandaoni namna hii, ni kinyume na Maadili.Unamaanisha nini hapo?? Kwamba wakitaka wa ku PM??
Kweli kabisa Mkuu, Mimi nilijifunza wakati fulani ktk Semina za Pro life.Huwa nasikia hili jambo linawatesa sana wanawake waliolitenda kwa lengo la kuwa wasichana daima ama kumaliza shule. Nasikia watoto hawa huwatokea usiku wakiwa wanalia hasa wale ambao katika harakati zao waneharibu miji ya watoto sasa anapokuja kupata kazi nzuri mtoto anakuwa hapatikaniki tena!!! stop !! killing
Aaahhh.. Hii kitu haramuTo abort an early pregnancy with safe abortion process buy online Abortion Pill. This pill helps to terminate a pregnancy without the surgical abortion method at home by self.
Kuna mmoja aliwahi kuniambia nakupeleka kwa Makonda,
wajibu wao ni kuzaa, na sio kutoa watoto.Msiwahukumu sana wanawake tumwachie Mungu, vipi wale waliozikataa mimba!!???
Mimi wakati mwingine nikowafikiria hawa wadudu napandwa na hasira sana na najiuliza maswali mengi sana mpaka wakati mwingine nafikia uamuz wa kisema sidhan kama ile hadith tunaoaminishwa kwenye vitabu vile kua hawa wametoka ubavuni mwangu kweli sidhanMwanamke alilaaniwa since day 1 pale Eden