Abortion..

halaf cha kushangaza hao waliofanya hvy watahukumiwa sawa na alieiba kuku kwa sababu ya njaa
 
Hawatabaki kuwa wasichana bali mama wa marehemu
 
Si kweli
 
hii ndo inasababisha mtu ukishamuoa anakwambia mimi baby nataka watoto wawili tu wasizidi hapo kwa kuwa anajua inawezekana akihitaji wengi wanaweza wasipatikane au atachoka kupita kiasi kwa michokoneo ya vyuma iliyofanyika.
 
hii ndo inasababisha mtu ukishamuoa anakwambia mimi baby nataka watoto wawili tu wasizidi hapo kwa kuwa anajua inawezekana akihitaji wengi wanaweza wasipatikane au atachoka kupita kiasi kwa michokoneo ya vyuma iliyofanyika.
Unakuta ujanan tu keshashusha injini mara mbili mpaka tano .....apo lazima awe mjanja.

Alafu demu alotoa mimba mwangalie Mstari wa Uzazi, au uson kwenye paji. Au juu ya viganjani .
 
Unakuta ujanan tu keshashusha injini mara mbili mpaka tano .....apo lazima awe mjanja.

Alafu demu alotoa mimba mwangalie Mstari wa Uzazi, au uson kwenye paji. Au juu ya viganjani .
teh..teh..teh... hapa ushatukanwa kimya kimya na zaidi ya wadada wakutosha hapa jf kwa vita uliyoianzisha ngoja tuanze kuwafanyia utafiti na ikiwezekana tuwapige chini japo inawezekana ni zaidi ya nusu ya wnawake wa umri wa kuanzia miaka 22 wameshatoa zaidi ya mimba mbili.
kama wajasiri waje hapa wawe waaminifu kila mmoja aseme ametoa ngapi naamini kwa ushuhuda watakao weka wako wengine watakao ogopa hivyo na kuponya vizazi vingine na ikawa lango la baraka kwao na naamini MUNGU anaweza kughahili adhabu yao.
 
Aisee kumbe!
Eehhh mwanamke akishika mimba tu hata km akiitoa, nangozi baadhi ya maeneo hufanya mabadiliko hayo mabadiliko hata apake vipi vipodozi hayaondoki.

Kuna mmoja majuzi nimekuta dukan, nikamwangalia nikamsoma, nikamwambia "Katubu" ..alafu nipo serious mbaya.

Akacheka,akauliza nikatubu nn....nikamsambia "Mimba zaidi ya mbili ulizotoa"...weee alikua mkali huyo utadhan kanywa bangi

Mimi nikaendelea kukaza tuu, baadae akaanza kulia, ndo akanisimulia ilivyokua mpaka ametoa mimba nne.

Alafu unajua nn chief...hii moment ya kutoa mimba, huwa hawaisahau mpaka wanaingia kaburin, nawakiona watoto tu wanakumbuka..wakiwa peke ao wanakumbuka, wakiwa faraghan wanakumbuka. Yaan nimaumiv yao yamoyon yasopotea
 
Eehhh wawe waaminifu tu km alivyokua linah .....

Huo ndo ukweli, mpaka ;mwanamke anafikisha miaka 35 bila kuolewa , ujue ndio hajaolewa, ila kuanzia suala la mapenzi ni suguuuu, yan kwshaumizwa weee mpaka kawa sugu ( huyu ukiwa naye ,kama sio mwenye dini atakusumbua sana sana tu)

Mpaka kwenye suala la mimba ,ukweli nikwamba mabinti wa miaka20 mpaka 35 hawa ni watoaji wazuri wamimba .

Nasiku izi niwajanja hao utasikia " nilishika mimba ila ikatoka[emoji23]

Kumbe alitoa, nasio mimba, unakuta ni mamimba
 
kibaya zaidi viongozi wetu wa dini hawalipi msukumo wa kutosha swala hili sijui kwakuwa na wao waliwatoa mabinti za watu mimba? swala la siasa lina nguvu sana kuliko uhai wa watu bado halijaongelewa kwa mapana.
 
ila ss inakuaje na upande wetu ss wanaume ambao wengine huwa chanzo cha wadada kutoa mimba?

Hii case ngumu sana aisee chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…