Abortion..

Huwa nasikia hili jambo linawatesa sana wanawake waliolitenda kwa lengo la kuwa wasichana daima ama kumaliza shule. Nasikia watoto hawa huwatokea usiku wakiwa wanalia hasa wale ambao katika harakati zao waneharibu miji ya watoto sasa anapokuja kupata kazi nzuri mtoto anakuwa hapatikaniki tena!!! stop !! killing
 
Na alafu unakuja kutana na mwanamke wa aina hiyo ,,mzee baba,unaona umepata bonge la mwanamke...sikia kama hajatubu aminn nawambie Utabeba laana na mikosi ya demu bila kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…