KERO Abood mnatukosea sana Abiria wenu

KERO Abood mnatukosea sana Abiria wenu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mwanongwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2023
Posts
866
Reaction score
805
Kampuni ya Mabasi ya Abood mnatukosea sana Abiria wenu,haiwezekani tumekata tiketi ya bus la kwenda Mbeya lililotakiwa kuondoka saa Tisa na nusu lakini mpaka muda huu hakuna bus.

Wafanyakazi wenu wa hapa Magufuli wanatujibu hovyo yaani wanatuona sisi kama takataka.

Huu ni upuuzi wa kiwango Cha juu,kama biashara imewashinda kafanyeni shughuli zingine

Wafanyakazi wenu hawajui kuongea vyema na wateja.

Screenshot_20250703-162049.png
 
Kampuni ya Mabasi ya Abood mnatukosea sana Abiria wenu,haiwezekani tumekata tiketi ya bus la kwenda Mbeya lililotakiwa kuondoka saa Tisa na nusu lakini mpaka muda huu hakuna bus.

Wafanyakazi wenu wa hapa Magufuli wanatujibu hovyo yaani wanatuona sisi kama takataka.

Huu ni upuuzi wa kiwango Cha juu,kama biashara imewashinda kafanyeni shughuli zingine

Wafanyakazi wenu ni wajinga sana na hawajui kuongea vyema na wateja.
Usafiri wa maana sasa hivi baada ya.train ni alfajiri tofauti na hapo umeliwa
 
Kampuni ya Mabasi ya Abood mnatukosea sana Abiria wenu,haiwezekani tumekata tiketi ya bus la kwenda Mbeya lililotakiwa kuondoka saa Tisa na nusu lakini mpaka muda huu hakuna bus.

Wafanyakazi wenu wa hapa Magufuli wanatujibu hovyo yaani wanatuona sisi kama takataka.

Huu ni upuuzi wa kiwango Cha juu,kama biashara imewashinda kafanyeni shughuli zingine

Wafanyakazi wenu ni wajinga sana na hawajui kuongea vyema na wateja.
Uwezekano mkubwa basi haijajaa. Kuna ushindani mkubwa nashangaa Abood anazidi kuongeza mabasi badala ya kuanza ku diversify.
 
Kama Unaenda MBEYA Usafiri wa Uwakika Tumia Bus hizi
1. Alsaheedi
2.New Force
3. ABC
4. Achimwene.
Mara zote kama naenda MBEYA matumia hizo Campuni
Ila abood sipandi Hata kwa Bure Wana Bus Chakacha kwel hiyo Ruti.
Ukitaka panda abood nzuri panda za kwenda moro tu.
 
Back
Top Bottom