asante Jerhi utujuze kama umefika salama na sehemu zako za haja kubwa
Zile ndoo ni ndogo aisee kufika chalinze hivi makalio yanauma ni shiida, mitaaa ya kwa mathius hivi ndio nikapata kiti hapo usingizi mpaka nafika Kibo Ubungo nashuka nikaona bora nijipatie uthibitisho wa picha ndio hii- ndoo ya blue ndio siti namba 58 niliyokalia leo na Kijani mbele ni siti namba 59, isitoshe tulipofika Bwawani akapikia abiria sita hao wakasimama mpka Maili moja, vile vile pale dashboard akawa na abiria 4
Mfumo wa kunasa kwa siti ni pale ukikuta yutong ndio inaachia geti la msamvu basi hapo ndio siti za ndoo na creti hukatiwa tiketi, na inakuwa hivo kwa sababu kusubiri bus jingine lijae kwa nusu saa unaona unachelewa kufika Dar.

kama mtu mwingine amewahi kusafiri au atasafiri na mabasi hayo anaweza kuleta ushahidi zaidi
hii imekaa vyema sanaNimewahi kusafiri hivyo ila si Abood nilikuwa natoka Mwanza - Tabora kumbe Trafic wanajua hiyo kufika njiani wakalisimamisha afande akasema "naomba ndoo zangu" alibeba zote akaruhusu gari mbele kidogo kakamatwa tena kwa kosa la kusmamisha abiria.
najiuliza tu inawekana kweli kwamba hata wale wakaguzi hawajui au ndio wanakula na maderevsababu mmiliki hana muda?Nimewahi kusafiri hivyo ila si Abood nilikuwa natoka Mwanza - Tabora kumbe Trafic wanajua hiyo kufika njiani wakalisimamisha afande akasema "naomba ndoo zangu" alibeba zote akaruhusu gari mbele kidogo kakamatwa tena kwa kosa la kusmamisha abiria.
ni kweli hayana makonda, nilichoshuhudia dhahiri ni kwamba aidha dereva mwenyewe anachukua chake mapema au wale wauza korosho maji na juis huwa wanamsaidia dereve kukusanya chake, ila inaonekana ni mtandao maana linapoondoka Dar au Moro wale wa chini wanapigia chapuo abiria kujazana na mara ya mwisho hata mmojawapo walioonekana waratibu wa kiwango cha lami alikua akipigia debe abiria kujazanaHivi mabasi ya Abood Dar-Moro yana Makonda? Nijuavyo mie (ila sijasafiri kitambo kidogo) haya mabasi yakishaondoka Msamvu au Ubungo huwa hayana konda huwa ni dereva pekee yake
najiuliza tu inawekana kweli kwamba hata wale wakaguzi hawajui au ndio wanakula na maderevsababu mmiliki hana muda?