Issuna
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,208
- 7,660
hAMNA tv hapoMliowahi kutumia hizi flst tv, kati ya aboder na star x, ipi ni nzuri zaidi
==========

Hahahaha wanajitoa ufahamu...mtu kama huna uwezo wa Flat tulia tu jmn kwan n shida kukaa bila TV ndani..wachina hawa daahivi brand kubwa hamzijui au mnajifanya hamnazo? baada ya mwezi utasikia '“”msaada tv yangu imejizima ghafla”!
Nchi Ngapi mkuu?390,000 kama utahitaji nicheki kwenye namba yangu
0717016789
shauri akoTulia mkuuView attachment 873914
NenoKatika haya mambo ya Electronics hayana Guarantee eti SAMSUNG,LG,ABODER,STAR X nk nk eti ndio tv nzuri au radio nzuri,yani Unaweza nunua LG ukiamin nio nzuriii na kweli n nzuriii ila bahati yako ikawa mbaya Wewe ukakutana na BOVUU...
unaweza ukanunua tv za starx au aboader au zngine zenye majina ya ajabu zinazosifika kwa kufa kufa ila UKABAHATIKA kupata yako itayodumu mpaka ukashangaaa..so katika haya mavitu iwe radio,tv,fridge,hata Magari ni mwendo wa kubahatisha tuuu.
La muhimu na kuzingatia cheza na warranty unayopewa huko dukani..muuzaji akikwambia warranty ni miezi 6 mlazimishe kwanini isiwe Mwaka (ukiona kagoma mwaka USINUNUE) AKIKWAMBIA warranty MIAKA miwili mlazimishe na mwaka wa 3 then msikilize majibu yake kwanini haongezi warranty.
Ila kuna tv unapewa warranty mwaka na haongezi hata siku 1 sasa ukinunua hyo TV jua umecheza kamari either ule au uliwe,Atleast nunua TV yenye warranty anzia 2yrs ukijumlisha na kuuitunza vzuri kwa kuidekeza kabisa 2yrs+2yrs yako binafsi nadhani hata LIKIFA fresh tuu hela ya tv ingine itakua ishapatikana.
Kutumia kitu mpk unazeeka nacho saingine napo kinachosha na ni ROHO MBAYA tuwe kama wazungu sasa jamani kwakua bado hatuna uwezo wakutumia kitu mwaka tukigawe bas atleast tuparangane nacho hata kwa 4yrs then after hapo UZA kwa wenye uhitaji wa FLAT au gawa hata kwa ndugu zako huko na wao wajivunie uwepo wako hapa duniani.
So TV,RADIO Nk ktk kununua nashauri cheza na WARRANTY na sio BRAND NAMES japo brand names saingine zina matter coz unaeza nunua LG copy la kichina na mwingine akanunua ABOADER au STAR X yenyewe kbsa halaf we mwenye LG ukaitumia miezi tu ikamfia ila mwnye ABOADER akakimbiza mpk miaka mi 3 na zaidi.
USIANGALIE MAJINA utakula za uso...FATA UBORA
Bila shaka wewe ni fundi.Naomba kujuzwa hivi naweza kupata kioo cha Samsung inch 32?.TV Yangu imepasuka kiooHao wote ni wamoja maana hata bodi zao za ndani zinafanana yaani...user interface ya aborder ni ile ile ya kwenye star x, kwa kifupi TV almost zote za kichina user interface yake ni moja...
Hapana mimi sio fundi, ila kwa swala hilo ni bora ukatafute TV ingine au umpate mtu ambae TV yake inatatizo tofauti na kioo halafu akuuzie kioo ila gharama yake itakua ni bora ununue TV ingine mkuuBila shaka wewe ni fundi.Naomba kujuzwa hivi naweza kupata kioo cha Samsung inch 32?.TV Yangu imepasuka kioo
Mkuu umenipa Courage iliyotukuka ngoja nichukue StarX Smart kwa Laki Nne hapa Arusha.Katika haya mambo ya Electronics hayana Guarantee eti SAMSUNG,LG,ABODER,STAR X nk nk eti ndio tv nzuri au radio nzuri,yani Unaweza nunua LG ukiamin nio nzuriii na kweli n nzuriii ila bahati yako ikawa mbaya Wewe ukakutana na BOVUU...