Abishae hodi hufunguliwa!

Abishae hodi hufunguliwa!

Poa ndugu...

Unajisikiaje kuwa mmoja wa wanajamvi?
 
vyema sana ndugu yangu!

Umeshafikisha post 6 hapo, unaweza ukaweka Avatar Mkuu....

Kumbuka Avatar inasanifu wasifu wako kwa kiasi fulani japo sio lazima sana....

Karibu sana, kwa stori zaidi tunaweza kuchat kupitia PM (Private Mesage)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom