Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
Hawa wana Kiteto kwa nini wasiungane na Chattle na kuitwa Kiteto-Chattle ili wafaidi kutengenezewa barabara? Vinginevyo wahamie Chattle, wilaya ya maziwa na asali TanzaniaAbiria wanaotumia barabara ya Kiteto kwenda Dar es Salaam, Kondoa- Babati na Kondoa kwenda Tanga, wamekwama kwa muda katika eneo la Mrijo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kuharibu miundombinu ya barabara huku wakilalamikia eneo hilo kuwapa usumbufu kila mwaka na kuiomba serikali kuangalia namna ya kuboresha eneo hilo.
Chanzo: EATV
Kwani yale madege siyaende kuwachukua?Abiria wanaotumia barabara ya Kiteto kwenda Dar es Salaam, Kondoa- Babati na Kondoa kwenda Tanga, wamekwama kwa muda katika eneo la Mrijo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kuharibu miundombinu ya barabara huku wakilalamikia eneo hilo kuwapa usumbufu kila mwaka na kuiomba serikali kuangalia namna ya kuboresha eneo hilo.
Chanzo: EATV
Very soon na Zenj itakuwa ni zaidi ya DubaiWapinzani wametuchelewesha sana, Kiteto ingekuwa sawa na California
Labda kama hamkuichagua ccmHizo barabara na hizi mvua inakuwaga ni shida mnaweza jikuta mnalala njiani hivihivi
Kiteto-matui unakwenda mpaka kuna junction moja unaingia njia ya kutokea izava hapo unakutana na njia ya kwenda aneti to arushaLakini nadhani iko kwenye zile njia zitakazojengwa kwa kiwango cha lami maana hili boda ni shortcut nzuri sana...
Bujibuji katika ubora wako! Kula LIKEβWapinzani wametuchelewesha sana, Kiteto ingekuwa sawa na California
ITAKUWA HATA MAFURIKO YA MTWARA NI HUJUMA ZA WAPINZANI (CHADEMA) π€£π€£π ila ni siri yako usimwambie mtu.Wapinzani wametuchelewesha sana, Kiteto ingekuwa sawa na California
Mkuu,Abiria wanaotumia barabara ya Kiteto kwenda Dar es Salaam, Kondoa- Babati na Kondoa kwenda Tanga, wamekwama kwa muda katika eneo la Mrijo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kuharibu miundombinu ya barabara huku wakilalamikia eneo hilo kuwapa usumbufu kila mwaka na kuiomba serikali kuangalia namna ya kuboresha eneo hilo.
Chanzo: EATV
Acha utani.Abiria wanaotumia barabara ya Kiteto kwenda Dar es Salaam, Kondoa- Babati na Kondoa kwenda Tanga, wamekwama kwa muda katika eneo la Mrijo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kuharibu miundombinu ya barabara huku wakilalamikia eneo hilo kuwapa usumbufu kila mwaka na kuiomba serikali kuangalia namna ya kuboresha eneo hilo.
Chanzo: EATV