Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,498
- 9,279
Abiria wanaotumia barabara ya Kiteto kwenda Dar es Salaam, Kondoa- Babati na Kondoa kwenda Tanga, wamekwama kwa muda katika eneo la Mrijo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kuharibu miundombinu ya barabara huku wakilalamikia eneo hilo kuwapa usumbufu kila mwaka na kuiomba serikali kuangalia namna ya kuboresha eneo hilo.
Chanzo: EATV
Chanzo: EATV