t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 6,371
- 14,766
Mkuu kwenye safari kuna mambo mengi sana, kwanza mfumo wa digestion hubadilika maana pale hukai stationary Bali una move, na sio climate Moja Bali unaita Hali tofauti tofauti za hewa,Kuna mdau katika ule uzi wa Bei za Vyakula Alishauri:
1, tujitahidi sisi wasafiri kutopenda kulakula sana. Mfano mtu unatoka Dar to Iringa, masaa 8 kuna ulazima gani kula hayo Masaa kama wewe ni mzima wa afya?
2, panapokua na uhitaji kama una mtoto, mgonjwa, unanyonyesha, au una njaa, basi either beba msosi ulipotoka au kula zile fast foods kama juice, maji, biskuit.
Cha pili Ile ni safari, huwezi jua litatokea nini hapo mbele, kuna kuharibika Gari, njia kufunga n. K, anyway sijui zaid kama we ni msafiri wa kila siku, maana ungekua hivo usingeandika ulichoandika, Kiufupi ruti ikishazid km 400 suala la kula haliepukiki