Abiria chunga mzigo wako

Abiria chunga mzigo wako

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
BlbMiDYCMAA6uD_.jpg:large
 
hehehe unaweza kuta bwana harusi ana historia na kimwana!
 
Hongera biharusi maana jamaa anaweza kukuona unasura kama ya dume vile
 
Jamaa alitaka arusi ifane kwa kuajiri mchezaji bila bibi harusi kujua eti supriiiiiiiiise
 
Tatizo ilo uyo mwanamke kamzidi uzuri bibi harus
 
Bwana harusi anaonesha kunogewa ila anavunga tu kumbambia sababu bi harusi anamuonya kwa macho ya shari.
 
Bibi harusi amenuna huyo, bwana harusi anashindwa kumsoma mkewe anaendelea kuselebuka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom