Abigael wa Chunya, Mbey

Abigael wa Chunya, Mbey

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,708
Reaction score
35,719
Amuombea msamaha mumewe mbele ya mkuu wa mkoa wa Mbeya
20190228_130158.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wa kuwekwa ndani hapo si viongozi wa serikali ya kijiji? wanachonganishwaje kibwegebwege
Hao viongozi wa kijiji nao mazoba kabisa. Yaani mtu anawachonganisha kivipi. Usikute wapishana maneno wakiwa kilabuni wakinywa pombe zao na michepuko yao
 
Asubuhi ya leo nimesoma 1Samweli 25 yote, inahusu kisa cha Nabali mume wa Abigael ambaye alimwombea msamaha mumewake kwa Daudi, isingekua yule mama kwenda kumpigia magoti Daudi wote wangefutiliwa mbali kwa upanga, hakika mwanamke mwema anajenga nyumba kwa busara na matendo. Nimejifunza kitu kwa huyu mama wa Chunya na kwa Abigael
Kanikumbusha stori uliyosoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom