Abeti Masikini - Cherie Bade

Mlamoto

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
351
136
R-6233602-1414352176-3260.jpeg.jpg
Abeti Masikini - Cherie Bade

Mpenzi Bade

Lobela ngai, Bade eh
Nini ngai na sala mpote na mona ba pasi Ya ndenge boye

Niambie Bade nimefanya kosa gani kupata mateso ya kiasi hiki.

Libala maman ah
Ewuta na paradiso oh
Nzambe tango asali mobali
Amoni kaka eloko mosusu ezali ko zanga Aye ko sala mwasi eh
Na mopanzi ya mobali eh, Bade oh

Ndoa ilitoka Paradiso.
Mungu alipomuumba mwanamume akamwona kuwa ni mpweke.
Ndipo akamuumba mwanamke.
Kutoka kwenye mbavu za mwanamume, Bade eh.

Ebanda libala wana
Ti lelo mpe tozali pe ko landa

Na ndoa ikufuatia.
Mpaka leo tunafuatishia hilo


Nini ngai na sala mpote na mona ba pasi
Lobela ngai, Bade eh
Ya ndenge boye
Libala maman ah
Ewuta na paradiso oh
Nzambe tango asali mobali
Amoni kaka eloko mosusu ezali ko zanga
Aye ko sala mwasi eh
Na mopanzi ya mobali eh, Cherie eh
Ebanda libala wana
Ti lelo pe tozali se ko landa


Instrumental

Nako kamwa
Nako tuna
Tinayo oko seke ngai mpote na lingi yo
Na zeli zeli pona nini eh
Na loba ko mingi mpo ondima
Nako suka wapi mama eh

Libala ekoti ndoki oh, molo eh
Ndoa imekuwa laana

Na moni ba pasi mpo na yo eh
Napata mateso yanayosababiswa na wewe.

Na pola ba mbula mingi eh
Nimenyeshewa nikalowa

Na kota lopitalo mpona yo
Nimekuwa hospitali kwa sababu yako

Ko beta epayi ya mbanda, cherie eh
Kipigo cha mke mwenza, mpenzi eh

Ozali kitoko mpe nayebi eh
Ulikuwa Mzuri najua hilo

Oko futa ngai pasi na moni ih
Niondolee machungu nionayo

Na pola ba mbula mingi eh
Nimenyeshewa nikalowa

Na kota Makala mpo na yo
Nimeingia Makala(jina la Jela ya Kinshasa) kwa sababu yako.

Meka moke okanisa, cherie oh
Nikumbuke hata kidogo mpenzi eh

Meka moke okanisa, cherie eh
Nikumbuke hata kidogo mpenzi eh

Nako kamwa
Nakushangaa

Nako tuna eh
Nakuuliza

Nako kamwa eh
Nakushangaa

Nako tuna ah
Nakuuliza
Tina yo oko seke ngai mpote na lingi yo
Kwanini unanicheka kwa kukupenda

Na zeli zeli yo pona nini eh
Na loba ko mingi mpo ondima
Nimekuambia mengi hivyo Kubali.

Nako suka wapi mama eh
Nitaishia wapi.

Libala ekoti ndoki oh, molo eh
Na moni ba pasi mpo na yo
Na pola ba mbula mingi eh
Na kota lopitalo mpona yo eh
Na kota makala mpo na yo

Meka moke okanisa, cherie eh
Nikumbuke hata kidogo mpenzi eh

Meka moke okanisa, cherie oh
Nikumbuke hata kidogo mpenzi eh
 

Attachments

  • Abeti Masikini - Cheri Babe.mp3
    5 MB · Views: 20
Mkuu Niko chini ya miguu yako naomba wimbo wa mpongolavo unaoitwa ndaya
 
Kichwa cha habari sikukielewa ikabidi niingie ndani kumbe wimbo ,ila kikongo kitamu sijui ndio Kilingala
 
Hii hapa
 

Attachments

  • Mpongo Love - Ndaya.mp3
    8.4 MB · Views: 13
socoda_19_ans_apres_qui_bo_2100342958_pepe_kalle_17_0002_640_350_1.jpg
Nao huu hapa chini Unaitwa Djarabi-Adjatou Wa Pepe Kale.
Adjatou binti wa kutoka Burkinabe..
Burkina Fasso...Ouagadougou


Adjatou,
wewe ni mojawapo wa mifupa ya mwili wangu, damu inayozunguka katika vena zangu,
nipe maisha.

instrumental

Adjatou, binti wa Ouagadougou(wagadugu) nakusihi

Mpenzi wangu
Mwenza wangu
Rudi

Kama nikikugeuzia mgongo
Utasema nimekutenga
Nimekuja kukupenda
Unanipuuza
Unatakiwa ujue kuwa.
Nina wazazi.
Wazazi wangu wanakupenda.
Mama yangu anakupenda.
Matobo anakupenda
Jonah Mumbafu anakupenda.
Kitenge Ndani anakupenda.

instrumental

Nimevuka mito na milima kukufuata wewe mpaka Ouagadougou
Inamaanisha nakupenda
Adjatou, Nimekuchagua wewe.

Banzutu amekuchagua,
Catona anakupenda
Shanda Atou anakupenda
Nakupigia magoti
Adjatou,Anny Mayambam

Instrumental

Kama nikikugeuzia mgongo
Utasema nimekutenga
Nimekuja kukupenda
Unanipuuza
Unatakiwa ujue kuwa
Nina wazazi.
Wazazi wangu wanakupenda.
Ajiza wangu amekuchagua.
Nakupenda
Matobo anampenda
Njona Mumbafu anakupenda


Nimevuka mito na milima kukufuata wewe mpaka Ouagadougou
Inamaanisha nakupenda
Adjatou, Nimekuchagua wewe.
Djarabi ni Zawadi
Adjatou, nimekuchagua wewe
 

Attachments

  • Djarabi - Adjatou.mp3
    17.5 MB · Views: 14
Back
Top Bottom