Abel Dhaira Augua Saratani

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Aliyekua Golikipa wa Simba na Timu ya Taifa ya Uganda (Korongo) Abel Dhaira amebainika kusumbuliwa na saratani ya utumbo mpana (colon cancer) na sasa anaendelea kugangwa kwa dawa (chemotherapy) ili kuondoa seli za saratani huko nchini Iceland. Tiba hii ni mbadala ya mionzi iliyokuwa ikitumika hapo kabla
images.jpg
MAF 7.jpg
 
Mwenyezi Mungu amponye. Kama anasoma hapa,namshauri anywe maji ya limao na asali kuondoa sumu na ugonjwa. Saratani sikia kwa watu .
 
Back
Top Bottom