Abdulrahman Kinana: Who is he?

Looks like Kinana has been off the grid....mara ya mwisho nilisikia alikwua busy kupokea wawekezaji(kama nani sijui...

nani alikuwa manager wa campaign za mkapa Kinana au Walter Bgoya?
 


Mara ya mwisho nilisikia alikua na kacheo pale Red Cross, sasa sijui ile deal ya jengo lao pale Dar kuuzwa ambayo Kimbisa ali engineer naye yumo sijui wana JF watatupasha
 
Lakini seriously mwenye CV ya Kinana aiweke hapa...maana it seems he is a good man...maana hata mambo yake anayafanya so professional..alikuwa supika wa bunge la EA..alikuwa rais wa Red Cross..ofcourse Tanzania utaitwa msomali, Mhutu, Mtusi..name it..ukiingia kwenye anga za watu..Lol, bongo noma... We mwache mwanakijiji aendelee kujifanya ana uchungu na nci ya watu...tutatrace details zake na kugundua kwamba mama yake alitokea Kalemie-Congo...lol!
 

Ila nimegundua hako kamchezo kako sana Tanzania ukikosea step lazima wapige zengwe la kuwa sio raia....I personally nikirudi nyuma miaka kadhaa naona origin yangu ni ya Afrika Kusini naweza kuwa dugu moja na Zwangendaba.
 
ARK ni mjumbe wa NEC na CC ni mtengeneza sera za chama anayetegemewa
 
Mhe. kinana yupo, ndiye amekuwa akitumiwa na jk kutumwa huku na huku kutuliza mambo ya chama,anafanya kazi iliyomshinda Mzee Malecela.

Jana nilimuona pale Mlimani muda wa mchana akiongea na Prof. Mkandara. Nadhania atakuwa ametumwa kumaliza mgogoro wa wanafunzi hapo chuoni, kwa kifupi ndiyo kazi yake baada ya Tingatinga kuchoka kutumw ana kijana Mdogo.
 
jina la kinana linanikumbusha mbali....
Karume Kenge (the father not the son) nasikia aliwaambia Wazanzibari maulidi ya mtume yasisomwe, " manake kazi yao kutaja MAKAFIRI wakubwa wakubwa wa MAkka, KINANA, kinana sijui nani"
 
jina la kinana linanikumbusha mbali....
Karume Kenge (the father not the son) nasikia aliwaambia Wazanzibari maulidi ya mtume yasisomwe, " manake kazi yao kutaja MAKAFIRI wakubwa wakubwa wa MAkka, KINANA, kinana sijui nani"

Khe. Nawe kwa kumbukumbu zako!!!- Mashallah
 

Mimi nafikiri, huyo mtu ni kifaa bora ambacho Chama tawala kinaweza kukitumia hivi sasa. Hata pale mwanzo mimi nilishangaa wakati Mwenyekiti akiweka safu mpya katika Chama baada ya kupokea kutoka kwa Mkapa kwa nini hakumtumia Kinana?. Lakini mpaka hii leo naona yeye ni bora, tena sana, kuliko Mzee Makamba kwa nafasii hii nyeti ya Ukatibu Mkuu. Tena isitoshe Kinana ni mtu anayekubalika vizuri na mwenye mvuto hata kule Zenj.
 
Huu mcezo umekuwa kawaida CCM, ukionekana kwamba unataka kugombea na hawakutaki, unabatizwa kabila jipya wanakuacha unaagaika nalo, ukiwazidi nguvu wanakutumia uamiaji. Sasa naona wameibuka na mtindo wa kesi, wakiona unaingilia iterest zao unatafutiwa kesi uangaike nayo mpaka uchaguzi uishe halafu unakata rufaa unashinda lakini wao wameshagombe na kushinda tayari.
 


Lakini tusisahau kwamba Kinana nae ni mtu mzito.

Mnaona hata hapa wenzie wanaangalia ajenda za mkutano, yeye ana-revise katiba!

Mambo mengi kuhusu CCM na nchi kwa ujumla yamo ndani ya mkoba wake na huwa hachezi nao mbali.
 

Attachments

  • CCM-NEC.jpg
    33.5 KB · Views: 236
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…